Nimemwachia mali zote, naanza upya

Bora umemuachia makaratasi majina ya viwanja bado ya kwako.
 
Kwa maisha niliyokulia. .. Namuona mama hivi.. nimeuza sana uji wa mchele, mihogo ufuta, visheti . Na (aliyekuwa) mke wangu walikuwa wale .... maisha Bora ... Mungu fundi ... Mi nimemsamehe..... Shida ni anapambania ndoa isivunjike nirudi .. na nikae (Mji nilimuachia yeye na watoto)
 
Maisha haya.. Yana mafumbo makubwa sana..ujinga nilichokataa ni dharau ...
 
Very simple yani.
..sitaki
..poa

Nageuza mgongo napiga usingizi wa kwenda, the next morning natuma text, "hi babez I've missed you, upo kweli?", baada ya hapo I know by 2200hrs nitakuwa nimemaliza haja za mwili.
 
Cha ajabu hao makungwi wa haki sawa karibia 80% hawana ndoa zaidi ya Ke wasio na dira yoyote kuhusu familia.

Ndiyo utegemee wawatakie mema wanandoa walioenda kusuluhishwa kwao [emoji848]
Ahahah eti tunataka haki sawa 😅😅 majukumu ya mwanaume tupige sisi na ya mwanamke tupige sisi....
 
Umechukua maamuzi ukiwa na hasira kuhusu kunyimwa mzigo na mkeo sio shida ya peke yako mkuu watu washafungua sana uzi wa kunyimwa chakula cha usiku na wake zao we cha kufanya ungetafuta namna ya kupunguza genye kuwa na mchepuko mwenye akili timanu na usimpe mimba,mkeo akishaona huombi mzigo ye mwenyewe utaona anakupa tena kwa mahaba.
 
Mzee like yangu namba 40[emoji2][emoji1787]
 
Mpaka sasa sijui nini nataka ksti kuoa au ubachela

Sijasema watoto au hela

Ila kuos au bachela

Ndoa zina makelele mengi mimi ni mtu ninayepemda peaceful life.and free life

Ubachela nao mzigo.

Anyway mbele kwa mbele.
 
Pole Sana...

Tumesikiliza upande mmoja..inawezekana hata wewe pia unachangia Hilo kwa kujua au kutojua..

Umemuwezesha ,unampenda Sana..., Inaweza kuwa wewe Ni mtu mwenye gubu na simangizi/ simbulizi mpaka anajihisi vibaya na kujutia saidizi yako... Hapo hawezi kukupa Tamu.. ..maana ndio sehemu pekee ana maamuzi nayo...zingatia mwanamke anaongozwa na hisia zaidi!

Jiangalie kwa utulivu labda wapi ukamkwaza... ..

Kama sivyo.. .. ...basi usihame mji..kaa nae mbali kwa MDA.. .. ili kumpa muda ajisome vizuri... ..maana kwa akili za Hawa viumbe .. ..ashaona umeoza /hupindui kwake...

Fanya Kama hayupo.. .. atarudi na adabu kamili.. ..na ..akikubali matokeo haraka jua alishakuchoka huyo..



Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
 
Ungesema namuachia kiwanja na nyumba, usiseme mali.. mali yenyewe iko wapi hapo?? Sokapohapo!!
Nimemwachia demu wangu sio mke ndinga la mil 35, nyumba ya ghorofa mbili nk, na sijatangaza. Wewe viwanja viwili matangazo kama ya Amazon college
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…