Nimemwachia mali zote, naanza upya

Ungesema namuachia kiwanja na nyumba, usiseme mali.. mali yenyewe iko wapi hapo?? Sokapohapo!!
Nimemwachia demu wangu sio mke ndinga la mil 35, nyumba ya ghorofa mbili nk, na sijatangaza. Wewe viwanja viwili matangazo kama ya Amazon college
[emoji23][emoji23][emoji23] aya SACO

Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app
 
wanaume tuna kazi sana, ifke mahali iwe hakuna kuoa wala kuolewa...
 
Mke hasomeshwi nadhan ulikiuka.kipengele hiki kaka mkubwa

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mimi nilifanya ujinga huo nikaishia njiani, yaliyonikuta sitosahau, kamwe sitorudia huo ujinga... km mwanamke anaweza kukudharau ili hali ana elimu ya msingi/ F4 na hana kazi yoyote. vipi kama kasoma na ana kazi? japo siyo wote lakin tunakoelekekea karibu wote wanataka kufanana tu....
 
Na hayo ndiyo maamuzi sahihi. Maamuzi sahihi siku zote lazima yaume na kuchoma km moto lakini in a long run aman na utulivu vitatawala tu...
 
Karibu.... Unajua mwanaume wa kuweza kukaa na mke wake bila kulazimisha tendo la ndoa ni shujaaa au mnyonge ... !!!?? Ukipata jibu utajitambua upo kundi Gani .... Pole....
Mwanaume hutakiwi kushindwa chochote. Tafuta namna ya kumwongoza huyo mke akae sawa. Njia uliyotumia ya kukimbia tatizo utakuja kuijutia.

Kwa mfano, baada ya muda kidogo utaanza kusikia kuna kidume mwenzako amefanya makazi ya kudumu kwenye kitanda ulichonunua, nyumba uliyojenga kwa jasho lako, na anajenga kwenye viwanja vyako.

Ninaamini utawaza kubadili mawazo na kurudi kwenye mali zako kuzikomboa. Utakuja hapa upya kuomba ushauri namna ya kurudia mali, mke na watoto wako.

Kumbuka huyo mkeo hana cha kupoteza. Ukikimbia atapata nafasi nzuri zaidi ya kujiachia. Na vidume watakula mpaka atakolea.

Jitakari upya.
 
Huu uamzuzi wa mleta mada hauna tija. Ameufanya kwa hisia bila kuangalia matokeo ya muda mrefu.
 
Mwenye sikio na asikie !!!

Huu uanaharakati uchwara huu unawaharibu sana hawa mabinti na vidigrii vyao uchwara!

Unampenda mtu kwa moyo wako wote lakini sasa ukimuweka ndani tu vituko vinaanza! Mungu na Atusaidie wanaume [emoji1545]
 
Ungesema namuachia kiwanja na nyumba, usiseme mali.. mali yenyewe iko wapi hapo?? Sokapohapo!!
Nimemwachia demu wangu sio mke ndinga la mil 35, nyumba ya ghorofa mbili nk, na sijatangaza. Wewe viwanja viwili matangazo kama ya Amazon college
Ishu ni kuwa vipato tunatofautiana
 
Pole sana, yalinikuta pia.

Nilibeba vyeti vyangu tu nikaondoka. Tunaishi mbali mbali japo tumezaa tena ila kuishi nae hakuna tena sitaki, mnyanyasaji sana kingono, ilikua inapiga miezi na mengine mengi.
 
Wachuchu wapo wengi mzee baba...

Naona kwa kuwa ni mtoto wa nzi, almanusura ufie kwenye kidonda...
 
Mi ndo maana nasema siwezi kuwa na mwanamke 1, lazima wawepo wengi for backup
 
Mimi naona umefanya maamuzi mabaya ya kumwachia hati za viwanja
kama uliamua kumuacha ungeondoka tu wewe umuache kwenye nuumba ila hati za viwanja ungeondoka navyo
 
Alipo kuita mjinga ulimzaba walau makofi mawili?
 
Pole sana Mkuu
 
Naamin mtarudiana tu, kwa jins ulivyoandika ni bado unampenda

Ukiona mwanamke wako amebadilika usianze kumlaumu, unaweza kuta ww ndio sababu ya yeye kubadilika

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…