Nimemwachia mali zote, naanza upya

Kaka haujui kutofautisha mke na hawara. Tafuta Mzee akupe somo mke haitakiwi kutumia moyo unapochagua.
 
Umenigusa sana ni kama ulikuwa unaniongeleea mimi kabisa.
 
That ma Nigga
 
Wewe bado mchanga Kaka ukipita nilikopita mimi inawezekana ukaahirisha maisha
Mchanga huo unaongelea aina ya udongo au hatua za ukuaji!!?? Shukuru tu haujakutana na pasua kichwa ... Kuna watu wakubwa kabisa wanafunga ndoa hata mwaka haimalizi.... Nimekaa kwenye ndoa miaka 7 ilikuwa naenda wa 8 .... Unataka kusema nini sijaona !?? Jibanze Hapo mje kuuana....
 
Hngera usije ukampa saba za kichwa na kama hauna mguu wa kuku ukampa pipe rwench au nyundo mwache asape. Swali unapoanza upya utaoa tena au ndo mazima na endapo utaoa huyo naye akizingua itakuwaje?
 
Kuna story ndefu nyuma ya pazia hapa ukipata Muda tupe japo Kwa kifupi
 
Mtoto wa nzi ! Mtoto wa nzi ! Mtoto wa nzi !

Nimekuita mara ngapi?
 
Wakati mwingine wana ndoa mnatengana kidogo kila mtu akae mwenyewe kwa hata miezi miwili au mitatu. Inasaidia kuwapa mwanga mpya wa maisha na 'kumisiana' kimtindo. Wazee walifanya sana hivyo. Shida ya sasa uvumilivu mdogo sana mnapeana space siku mbili tatu unasikia mkeo anafua suruani hapo kwa jirani.
 
Mkuu ebu anzisha Uzi na wewe kuna la kujifunza hapa Kwako Kaka
 
Tatizo hakupi uroda? Kumuachia mali zote ni uamuzi wa kijinga ndugu, acha hasira fikiria tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…