Nimemwachia mali zote, naanza upya

Nimemwachia mali zote, naanza upya

Yaani... Alikuwa demu wangu wa kwanza kabisa ..nilimpenda na nampenda sana ..anajua hilo... Ndio nikasema to make story short .. nafaulu form four 2003 .. yeye anafeli .... miaka 9 mbele namkuta nilipoajiliwa ... Nikamsaidia kuajiliwa kama mhudumu na nikamsaidia kusoma maana nilimpenda sana.. daaah .... Na nikafunga naye ndoa 2016...... hamjui tu maumivu ...nimeomba uhamisho niondoke kabisa hili eneo....
Kaka haujui kutofautisha mke na hawara. Tafuta Mzee akupe somo mke haitakiwi kutumia moyo unapochagua.
 
Pole sana mkuu. Subiri feminist waje kukuambia hizo ni changamoto ndogo tu katika ndoa na kwamba ili uonyeshe uanaume wako ulitakiwa upambane nae msuluhishe muendelee kujenga familia.

Mimi natoka kidogo ntakuja kuchangia baadae
.
.
.
Nimerudi. Wanawake sijui nani kawaroga siku hizi. Nahisi hawa mashosti wa saluni, ofisini na vikoba wanawaharibu sana.

Juzi nilikua nimeenda mgahawa flani hivi karibu na hapa kitaa. Pembeni kuna kasaluni ka kike mbele wamekaa wale masela wanaowapaka rangi madem pamoja na kuwasugua sugua miguu (kwa wakazi wa dar mtakua mnanielewa) aisee story walizokua wanapiga ni aibu tupu. Kuna mdada namjua kabisa ameolewa anawahadithia mambo yake ya chumbani na mumewe mashosti zake ambao asilimia kubwa pale ni masingo maza na wameshapoteza muelekeo wa kua na waume wa kuwaoa. Wengine wanamshauri "heee mie mwanaume hanipelekeshi hivyo shosti! Yani nimechoka zangu na kazi eti anilazimishe nimfulie manguo yake! Kah mlioolewa mna kazi! Si amtafute tu beki tatu!" Wakaanza kujichekesha kinafki.. Mwengine anadakia, "shosti yani ww pambana na watoto wako huyo bwana pasua kichwa wa nini na una kazi yako mamii! Tafuta mchepu akupunguzie stress! Siku hizi haki sawa akikuletea za kuleta unampeleka dawati la jinsia.. Kwisha habari yake!!!"

Daaah! Nikajisemea kwa hali hii mabachela tuna kazi sana kumpata mwanamke anaejitambua na kutambua majukumu ya ndoa..

Nakumbuka dingi yangu mdogo alikua na mke na watoto wawili, mjengo na usafiri wa kutembelea na biashara iliyosimama. Lakini alikimbia mji wake na kutokomea mikoani kuanza upya. Ndugu walikua wanaponda sana kile kitendo kiasi kila mtu alikua anamchukia kwa yale maamuzi. Wahenga waliosema kua uyaone hawakukosea. Sasa ndio nimekua nimeanza kumuelewa dingilai!
Umenigusa sana ni kama ulikuwa unaniongeleea mimi kabisa.
 
Stori isiwe ndefu.

Mke wangu mtumishi na mimi mtumishi. Anatiwa ujinga na wenzake kila siku, tuna viwanja viwili na kimoja tumejenga. Leo nimempelekea hati za viwanja vyote na a akae navyo.

Na nimemwambia nakuachia mali zote usiliwe KIZEMBE liwa ukiwa na hamu. Naondoka wasikilize hao marafiki zako. Simu nazopigiwa sio za dunia hii.

Nimeamua kumuachia mali zote, nianze upya. Wanawake Mungu anawaona. Sasa naombwa vikao kusululisha wakati ana nionea kijinsia hakutafuta ndugu. Nimekaa miezi hanipi mzigo kwa ustaarabu sikutaka kumuingilia kinguvu.

Leo namuachia kila kitu nilichopambania ameita familia kutatua na kujadili nirudi kwenye ndoa ambayo hajaihudumu zaidi ya mwaka. Mimi Mkristo Mkatoliki ila huu ujinga sitaki

Nimempa kila kitu nianze upya.
That ma Nigga
 
Wewe bado mchanga Kaka ukipita nilikopita mimi inawezekana ukaahirisha maisha
Mchanga huo unaongelea aina ya udongo au hatua za ukuaji!!?? Shukuru tu haujakutana na pasua kichwa ... Kuna watu wakubwa kabisa wanafunga ndoa hata mwaka haimalizi.... Nimekaa kwenye ndoa miaka 7 ilikuwa naenda wa 8 .... Unataka kusema nini sijaona !?? Jibanze Hapo mje kuuana....
 
Nimejenga maeneo ya mbali sana..sio kwao sio kwetu..
Mkuu unacomment, unajiquote, unajijibu. Inaonekana hii issue imekuvuruga sana. Pole san chief,
Screenshot_20220605-111337.jpg
 
Stori isiwe ndefu.

Mke wangu mtumishi na mimi mtumishi. Anatiwa ujinga na wenzake kila siku, tuna viwanja viwili na kimoja tumejenga. Leo nimempelekea hati za viwanja vyote na a akae navyo.

Na nimemwambia nakuachia mali zote usiliwe KIZEMBE liwa ukiwa na hamu. Naondoka wasikilize hao marafiki zako. Simu nazopigiwa sio za dunia hii.

Nimeamua kumuachia mali zote, nianze upya. Wanawake Mungu anawaona. Sasa naombwa vikao kusululisha wakati ana nionea kijinsia hakutafuta ndugu. Nimekaa miezi hanipi mzigo kwa ustaarabu sikutaka kumuingilia kinguvu.

Leo namuachia kila kitu nilichopambania ameita familia kutatua na kujadili nirudi kwenye ndoa ambayo hajaihudumu zaidi ya mwaka. Mimi Mkristo Mkatoliki ila huu ujinga sitaki

Nimempa kila kitu nianze upya.
Hngera usije ukampa saba za kichwa na kama hauna mguu wa kuku ukampa pipe rwench au nyundo mwache asape. Swali unapoanza upya utaoa tena au ndo mazima na endapo utaoa huyo naye akizingua itakuwaje?
 
Ww muache aondoke mwanamke ukiomba mzigo ni kama unamnyanyasa anakuambia "humu ndani mimi ni kama natumika, ipo siku utakuta sipo" hii kauli ya "kukuta Sipo" Anairudia mara nyingi, nikamjibu kama hicho ndo unachotaka "ondoka upate Amani"

Mtu kununa kila siku, unamuuliza ili ujue kinachomsibu.... anajibu '' nina mambo yangu yananivuruga we lala tu'' ukifosi kumuuliza zaidi hapo anaweza kuhama hata chumba

Huyu ni mke wangu nina mtoto nae mmoja
Sijawahi kufosi mechi, kupika wala kumlazimisha kufua nguo

Nimeona bora tumalize ila sikupenda hili litokee
Kuna story ndefu nyuma ya pazia hapa ukipata Muda tupe japo Kwa kifupi
 
Alikuwa na ajira kada ya chini sana ... Mhudumu... Nikamsomesha Qt Akapata credit... Nikamsomesha tena ma maendeleo ya jamii Bweri Musoma ... Sasa napishana naye kwenye vikao ..na Kwa uzoefu wangu akapata mradi wa ukimiwi... Sasa amekutana na viongozi nimemuonyesha njia ... Amenidharau.. sasa... Mimi SI mkongwe ...nilipoenda kufungua shitaka la kuvunja ndoa akalisikia ... Ndio anahangaika ... Miaka 12/3 kazini... Nikae KIZEMBE ....
Mtoto wa nzi ! Mtoto wa nzi ! Mtoto wa nzi !

Nimekuita mara ngapi?
 
Wakati mwingine wana ndoa mnatengana kidogo kila mtu akae mwenyewe kwa hata miezi miwili au mitatu. Inasaidia kuwapa mwanga mpya wa maisha na 'kumisiana' kimtindo. Wazee walifanya sana hivyo. Shida ya sasa uvumilivu mdogo sana mnapeana space siku mbili tatu unasikia mkeo anafua suruani hapo kwa jirani.
 
Ww muache aondoke mwanamke ukiomba mzigo ni kama unamnyanyasa anakuambia "humu ndani mimi ni kama natumika, ipo siku utakuta sipo" hii kauli ya "kukuta Sipo" Anairudia mara nyingi, nikamjibu kama hicho ndo unachotaka "ondoka upate Amani"

Mtu kununa kila siku, unamuuliza ili ujue kinachomsibu.... anajibu '' nina mambo yangu yananivuruga we lala tu'' ukifosi kumuuliza zaidi hapo anaweza kuhama hata chumba

Huyu ni mke wangu nina mtoto nae mmoja
Sijawahi kufosi mechi, kupika wala kumlazimisha kufua nguo

Nimeona bora tumalize ila sikupenda hili litokee
Mkuu ebu anzisha Uzi na wewe kuna la kujifunza hapa Kwako Kaka
 
Stori isiwe ndefu.

Mke wangu mtumishi na mimi mtumishi. Anatiwa ujinga na wenzake kila siku, tuna viwanja viwili na kimoja tumejenga. Leo nimempelekea hati za viwanja vyote na a akae navyo.

Na nimemwambia nakuachia mali zote usiliwe KIZEMBE liwa ukiwa na hamu. Naondoka wasikilize hao marafiki zako. Simu nazopigiwa sio za dunia hii.

Nimeamua kumuachia mali zote, nianze upya. Wanawake Mungu anawaona. Sasa naombwa vikao kusululisha wakati ana nionea kijinsia hakutafuta ndugu. Nimekaa miezi hanipi mzigo kwa ustaarabu sikutaka kumuingilia kinguvu.

Leo namuachia kila kitu nilichopambania ameita familia kutatua na kujadili nirudi kwenye ndoa ambayo hajaihudumu zaidi ya mwaka. Mimi Mkristo Mkatoliki ila huu ujinga sitaki

Nimempa kila kitu nianze upya.
Tatizo hakupi uroda? Kumuachia mali zote ni uamuzi wa kijinga ndugu, acha hasira fikiria tena.
 
Back
Top Bottom