Nimemwachia mali zote, naanza upya

Sijawahi kukupinga mzee, tupo pamoja sana #YNWA
 
Wakuu, wakati tunasoma hii comment naomba tuangalie na avatar ya mtoa uzi, tupate picha kamili [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huko ustawi huko, akili zao zinawehuka kifupi wana ujinga mwingi.
 
Mara zote wanaume wanaofikia maamuzi hayo huwaga hawarudigi nyuma kujua waliokuwa wake zao wanatembea na nani,nisha washudia wawili, mmoja alimfumania mkewe walikuwa na nyumba tatu akamwambia ktk nyumba zile achague
Ni kweli, hakuna kung'ang'ania mali, amani ya moyo ni muhimu zaidi. Mimi ni ke, niliondoka nikaacha kila kitu nikaenda kupanga. Nikamuacha na mchepuko wake. Sasa hivi hata huo mchepuko hayuko naye tena. Mungu hufungua neema kama wewe ndio uliyeonewa huwa anakuwa upande wako.
 

[emoji1434][emoji1434]
 
Leo la Feminist Movement ni kuhakikisha kuoana kwa Me na Ke kunakufa Duniani kote . Nina uhakika 100% Wanawake wengi hawajui agenda za siri zilizojificha nyuma ya mwamvuli wa HAKI ZA BINADAMU , Mf usawa wa kijinsia mara hamsini kwa hamsini . Na walivyokuwa na Raisi mwanamke ndiyo kabisaa .

Ila Aminini nawambia mpango wa Shetani kupitia hizo harakati zenu ni Total Destruction of Mariages World Wide via Feminist Movements. Am done but coming back to you my Dear , the decision you made you ashame all Men
 
Kwanini hutaki mazungumzo, kwenye mazungumzo hakuna kinachoshindikana. Huenda na yeye ana Malalamiko mengi dhidi yako, kaeni chini mzungumze kwa nia ya kuyamaliza.

Ukitanguliza hasira utakosa mke na mali, wakati sababu ulizotoa unaweza kukutana nazo sehemu nyingine.
Wakati mwingine huwa hatuoni makosa yetu tunaona ya wengine.
 
Mke wa nini sasa kama hakuheshimu ... mali si kamuachia , sasa mazungumzo ya nini sasa...
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Achechee achechee
 
Doh, pole Sana aisee. Wanawake ifikie mahali tubadilike kdg. Hii haki sawa hii itatuponza...

Kusikiliza mashoga watoe ushauri wa ndoa yangu, hapana kwa kweli. Khaaaa!!!!
Kwa kweli tubadilike.
 
Mungu akutie nguvu na Maombi yanaitajika Sana kwenye ndoa za Sasa ivi.
 
Ushauri wa hovyo
 
Ukiona hivyo vitu wana viepuka,si umeona kilicho tokea Mwanza,ogopa kulundika hasira kwani kuna siku utakitimiza kili ulichokuwa unakifikiria kipindi ukiwa na hasira.
Sasa ungeona bora amuachie huyo malaya mali zote siyo? Uamuzi aliochukua ni wa DUME la mbegu!
Swela muyaa!
 
Sasa ungeona bora amuachie huyo malaya mali zote siyo? Uamuzi aliochukua ni wa DUME la mbegu!
Swela muyaa!
Sawa hela inatafutwa kwa mtu anayejua kutafuta hela sio issue na si kujitoa uhai.
 
Mimi ningekushauri uuze Mali zote mgawane hela then ujiondokee....atakayechezea zake shauri yake. Wanaume siku hizi sijui tunafeli wapi. Msiwaruhusu hawa wanawake watutawale....hakika tutajuta. Kazeni
 
Pole sana kaka,dunia ya Sasa imekuwa shida kwa Hawa viumbe,Kuna mdogo wangu alipopata kazi nilimuonya sana kuoa mfanyakazi au kumsaifia apate kazi kwa matarajio ya kumuoa,kwa Sasa ananishukru sana.Shida kubwa walonayo hawajali utu wanajali Mali na kuona Wana haki ya Kila kitu,ukitegemea Ana pa kushika Kila mwezi hivyo hawna cha kupoteza.pole sana Anza upya cha msongi mwombe mungu.
 
Mali nini babu we mbona unataka kuwa mfungwa wa mali. Ila kuna vitu watu wanasahau mkeo hatakiwi kukujua %100. Hilo ni kosa la kimkakati. Maana mwanamke akikuangalia anahc mafanikio matumain nk. Sasa akija kujua uwezo wako ulipoishia haon jipya kwako. Pili.

Mwanaume usiongee sana. Mwanamke lazima akuone uko serious kias flan japo umsikilize zaid. Lakin pia epuka life la kujionyesha hata kama umejaliwa. Mwanamke moyo wake wa uhitaji unatanuka kuendana na unavyomrahisishia mambo.
 
Mtoto wa Inzi.

Ni mwezi na siku moja sasa umepita tunaomba updates...

Bado umekaza? Roho haijalainika? Hujamiss watoto? Mkeo kashaanza kupelekewa moto kama kawaida yake?
 
Bora ww mm nimejibiwa hivyo tyr
 

Attachments

  • SmartSelect_20220610-192204_Messages.jpg
    12.5 KB · Views: 27
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…