Nimemwachia mali zote, naanza upya

Nimemwachia mali zote, naanza upya

Samahani Kwa kusema hili, asilimia kubwa ya wanawake mkiwa wachumba atakupa unyumba Kila unapotaka, wakishaolewa hutumia tendo la ndoa kufosi wanayoyataka na hutumia tendo la ndoa kama fimbo. Ni changamoto sana
 
Ukishaoa mwingine utagundua kwamba ulikurupuka. Napenda kusisitiza ndoa ni Agizo la Mungu na ulimpelekea Mungu mkafunga ndoa. Sasa umejisahau unaanza kumuhukumu mwenzako kuwa mkosa. Kaa ombea ndoa yako mpe Mungu aendelee kuitawala. Hapo ibilisi hapendi amani na hapendi ndoa. Furaha ni kwake. Hasira ni za shetan.

Nataman apate Mume. Ubaki na hasira zako na Jamaa lije liishi hapo hapo.
Hujui unaloliongea,
 
Umefanya uamuzi wa busara Kaka. Ningependa tu normalize divorce iwe kitu cha kawaida jamii ya Afrika bado wanamtazamo hasi sana mtu akitoka kwenye ndoa au mahusiano wanakwambia uvumilie shubamit vingine havivumiliki. Kuna yule mwigizaji wa mbele alisema the worst prison is the home without piece. Hata watoto wetu tuwafundishe ndoa ngumu warudi nyumbani kuliko kufanyiwa vitendo vya kikatili.

Feminist nani aliwambia kumnyima unyumba mtu wako ndo suluhisho la matatizo ? Communication is Key kwenye ndoa zungumzeni kutatua changamoto. Last but not a least usikurupuke kuoa Mwanamke au kuolewa kuna umuhimu wa kudate kwanza mchunguzaneni state of mind wengine tayari washachanganyikiwa mnawaoa kuja kulipiza kisasi cha maamuvi ya huko nyuma.
Umeongea mambo ya maana sana chifu!
 
Nmepita Uzi wooote nkakuta umecomment hapo kati unasema alikusaliti..

Kama usaliti ulkuwepo basi ndo maana alikudharau na kukunyima haki Yako.

Pole lakini msaliti ni [emoji857]
Natumaini mnawalea watoto wenu vizuri Kwa Sasa.
 
Yaani... Alikuwa demu wangu wa kwanza kabisa ..nilimpenda na nampenda sana ..anajua hilo... Ndio nikasema to make story short .. nafaulu form four 2003 .. yeye anafeli .... miaka 9 mbele namkuta nilipoajiriwa ... Nikamsaidia kuajiriwa kama mhudumu na nikamsaidia kusoma maana nilimpenda sana.. daaah .... Na nikafunga naye ndoa 2016...... hamjui tu maumivu... nimeomba uhamisho niondoke kabisa hili eneo....
Natamani kujua maendkeo Yako mkuu! Namaanisha feedback ...itatusaidia wengi!
 
Stori isiwe ndefu.

Mke wangu mtumishi na mimi mtumishi. Anatiwa ujinga na wenzake kila siku, tuna viwanja viwili na kimoja tumejenga. Leo nimempelekea hati za viwanja vyote na akae navyo.

Na nimemwambia nakuachia mali zote usiliwe KIZEMBE liwa ukiwa na hamu. Naondoka wasikilize hao marafiki zako. Simu nazopigiwa sio za dunia hii.

Nimeamua kumuachia mali zote, nianze upya. Wanawake Mungu anawaona. Sasa naombwa vikao kusululisha wakati ananionea kijinsia hakutafuta ndugu. Nimekaa miezi hanipi mzigo kwa ustaarabu sikutaka kumuingilia kinguvu.

Leo namuachia kila kitu nilichopambania ameita familia kutatua na kujadili nirudi kwenye ndoa ambayo hajaihudumu zaidi ya mwaka. Mimi Mkristo Mkatoliki ila huu ujinga sitaki

Nimempa kila kitu nianze upya.
Ndo ya mwaka 1, kuna mahali umeandika mna watoto 4 wakubwa, fafanua
 
Stori isiwe ndefu.

Mke wangu mtumishi na mimi mtumishi. Anatiwa ujinga na wenzake kila siku, tuna viwanja viwili na kimoja tumejenga. Leo nimempelekea hati za viwanja vyote na akae navyo.

Na nimemwambia nakuachia mali zote usiliwe KIZEMBE liwa ukiwa na hamu. Naondoka wasikilize hao marafiki zako. Simu nazopigiwa sio za dunia hii.

Nimeamua kumuachia mali zote, nianze upya. Wanawake Mungu anawaona. Sasa naombwa vikao kusululisha wakati ananionea kijinsia hakutafuta ndugu. Nimekaa miezi hanipi mzigo kwa ustaarabu sikutaka kumuingilia kinguvu.

Leo namuachia kila kitu nilichopambania ameita familia kutatua na kujadili nirudi kwenye ndoa ambayo hajaihudumu zaidi ya mwaka. Mimi Mkristo Mkatoliki ila huu ujinga sitaki

Nimempa kila kitu nianze upya.
Hii ni dalili ya udhaifu mkuu..
Kwamba upate ticket ya kujirudisha kwake kipindi maumivu ya kuachwa yakikuzidia.


Hakuna cha kumwachia asiliwe kizembe wala huruma uliyonayo..

Huna kauli ya kiume mbele ya mkeo.
 
Very simple yani.
..sitaki
..poa

Nageuza mgongo napiga usingizi wa kwenda, the next morning natuma text, "hi babez I've missed you, upo kweli?", baada ya hapo I know by 2200hrs nitakuwa nimemaliza haja za mwili.
Yes...don't force mzigo, akizingua nageuka ukutani
 
Kipengele kimoja tu ulikosea, mke au mchumba hasomeshwi. Tena kama ni FFF ndio kabisa hasomeshwi, sababu..? Siwezi sema hapa...akae home alee watoto.

Ila kama mke umemkuta ana diploma yake maana tayari kuna anachojua, for the sake of your kids akitaka kujiendeleza basi mpe nafasi.

It's very sad kwamba you have to start all over kisa ndezi mmoja asiyejielewa.
1. Usimsomeshe mwanamke tena kabla hujamweka ndani
2. Isimfungulie biashara kabla hajawa ndani.

Hii namba 2 ilinikuta iliniuma sana
 
Nakusapoti mkuu. Mi nakaribia mwaka wa pili nilimuachia kila kitu nikaanza upya.
Iko hivi mwaka 2019/2020 ndio nimemaliza chuo nilipanga na mke wangu hapa centa yetu, msimu ukafika nililima mpunga majuruba ya kwetu nusu ekari, kwao tulipewa ekari moja na nusu, tukavuna kama gunia 25, majuruba ya kwao tulipata gunia 18. Nilianza kusimangwa kwa hivyo vigunia kulivyolima kwao.

Ikafika nikawa naambiwa sina lolote, siwezi hata kuajiriwa. Nilichofanya niliuza gunia 7 za mpunga tulizopata kutoka majaruba ya kwetu, vingine vyote nilimwachia, vitu vya ndani, mpunga na gunia za mahindi tano. Nilianza upya sahiv afadhali, yeye akauza mpunga akapewa kiwanja hapohapo kwao akajenga slopu mbili chumba na sebule.

Saa hivi naambiwa tujenge tuwe wamoja hapo alipo amepachoka, maana alipojenga kuna mkubwa wake pia single mother na watoto watano, jumlisha kwao, msongamano unamsumbua.
Alikuwa mwanamke maskini sana
 
Wewe unatania eti unaanza upya kwa ndoa ipi ya kikristo au yakiislamu.
Kikristo hauwezi kuacha hadi umfumanie hapa sasa naona unaota .
Rudi kwa mkeo acha hasira kama hakutaki.
Mwambie tu kiustaraabu naanza penzi na maisha na mtu mwingine ila tutakuwa tunashiriki tendo pale tunapohitaji watoto sasa pole .
Sitaji penzi lako tena nahitaji tu familia njee nitaenda kutoa penzi ndani nitakupa watoto hutaki basi vyote natoa nje .
Nahuku siji tena.
Kuna wakati sheria za dini hazi apply unalazimika kutumia sheria zako tu
 
Back
Top Bottom