Nimemwachia mali zote, naanza upya

Nimemwachia mali zote, naanza upya

Mungu atusaidie wale tumeoa Mimi nafikiria niishi kivyangu ,napenda maisha ya ukristo Ila naona ndoa Ni ngumu mwanamke simwelewi
 
Awa viumbe wanachanganya sana ndio maan wanapigwa ma bastola uko
Stori isiwe ndefu.

Mke wangu mtumishi na mimi mtumishi. Anatiwa ujinga na wenzake kila siku, tuna viwanja viwili na kimoja tumejenga. Leo nimempelekea hati za viwanja vyote na akae navyo.

Na nimemwambia nakuachia mali zote usiliwe KIZEMBE liwa ukiwa na hamu. Naondoka wasikilize hao marafiki zako. Simu nazopigiwa sio za dunia hii.

Nimeamua kumuachia mali zote, nianze upya. Wanawake Mungu anawaona. Sasa naombwa vikao kusululisha wakati ananionea kijinsia hakutafuta ndugu. Nimekaa miezi hanipi mzigo kwa ustaarabu sikutaka kumuingilia kinguvu.

Leo namuachia kila kitu nilichopambania ameita familia kutatua na kujadili nirudi kwenye ndoa ambayo hajaihudumu zaidi ya mwaka. Mimi Mkristo Mkatoliki ila huu ujinga sitaki

Nimempa kila kitu nianze upya.
 
MWISHO WA HAYA YOTE , NI KUWEPO KWA NDOA ZA MKATABA. KILA MWEZI AU KILA MWAKA MNAVUNJA MKATABA NA KUANZA UPYA
 
Stori isiwe ndefu.

Mke wangu mtumishi na mimi mtumishi. Anatiwa ujinga na wenzake kila siku, tuna viwanja viwili na kimoja tumejenga. Leo nimempelekea hati za viwanja vyote na akae navyo.

Na nimemwambia nakuachia mali zote usiliwe KIZEMBE liwa ukiwa na hamu. Naondoka wasikilize hao marafiki zako. Simu nazopigiwa sio za dunia hii.

Nimeamua kumuachia mali zote, nianze upya. Wanawake Mungu anawaona. Sasa naombwa vikao kusululisha wakati ananionea kijinsia hakutafuta ndugu. Nimekaa miezi hanipi mzigo kwa ustaarabu sikutaka kumuingilia kinguvu.

Leo namuachia kila kitu nilichopambania ameita familia kutatua na kujadili nirudi kwenye ndoa ambayo hajaihudumu zaidi ya mwaka. Mimi Mkristo Mkatoliki ila huu ujinga sitaki

Nimempa kila kitu nianze upya.
Mbona unakuwa fala wewe.

Umekulia kwenye familia ya kishua? au ndo ujinga wa dini umekukaa?
 
Wewe ni kenge zee, lofa, faller, bwege mtozeni na jinga na puuzi, na ndiyo maana ulitukanwa hadharani. Mq..ndu wewe... Unawaaibisha me wenzako qima wewe. Mat@cle yako puuzi kabisa hili.

Alishakuona bwege na hakukupenda, alitaka umtimizie plan zake tu... Umenikera sana. Kwa nini uwe lofa kiasi hiki?

Kuwa mkweli unafanya kazi gani, na mnaishi wapi?
Ulitakaje labda!!?? Maana ulichojibu wewe ni mpumbavu zaidi na bwege hujitambui tu!!? Ulichoandika ulikisoma!!? Kabla ya kupost!!? Wajinga ni wengi na wewe ni Mmoja wao. . pole...
 
Wewe ni kenge zee, lofa, faller, bwege mtozeni na jinga na puuzi, na ndiyo maana ulitukanwa hadharani. Mq..ndu wewe... Unawaaibisha me wenzako qima wewe. Mat@cle yako puuzi kabisa hili.

Alishakuona bwege na hakukupenda, alitaka umtimizie plan zake tu... Umenikera sana. Kwa nini uwe lofa kiasi hiki?

Kuwa mkweli unafanya kazi gani, na mnaishi wapi?
Screenshot_20220627-001508.jpg

Wewe huyu!?? Joined may 4,2022. Aseee ...Upo suspension shule au... Shule zimeshafunguliwa.... Muulize vizuri mamaako naweza kuwa nimesoma nae ... Nawe ukawa sehemu ya mgogoro wa kukataa watoto wa ujanani ... Ukikua utanifta Baba Ako .muulize mamaako vizuri
 
Stori isiwe ndefu.

Mke wangu mtumishi na mimi mtumishi. Anatiwa ujinga na wenzake kila siku, tuna viwanja viwili na kimoja tumejenga. Leo nimempelekea hati za viwanja vyote na akae navyo.

Na nimemwambia nakuachia mali zote usiliwe KIZEMBE liwa ukiwa na hamu. Naondoka wasikilize hao marafiki zako. Simu nazopigiwa sio za dunia hii.

Nimeamua kumuachia mali zote, nianze upya. Wanawake Mungu anawaona. Sasa naombwa vikao kusululisha wakati ananionea kijinsia hakutafuta ndugu. Nimekaa miezi hanipi mzigo kwa ustaarabu sikutaka kumuingilia kinguvu.

Leo namuachia kila kitu nilichopambania ameita familia kutatua na kujadili nirudi kwenye ndoa ambayo hajaihudumu zaidi ya mwaka. Mimi Mkristo Mkatoliki ila huu ujinga sitaki

Nimempa kila kitu nianze upya.
Bora baba. Ila punguza hasira. Kalia na msimamo wako huku ukiangalia speed yake. Itabidi tu uumpe nafasi ya pili. Ukiona habadiliki bwaga kabisa
 
Oa mwingine tena umuachie mali changamoto zikianza.
Haya maisha tangu ulipozaliwa unakumbana na changamoto kote, kazini, mtaani na hata kwenye ndoa, lazima uwe mpambanaji.
 
Hata mama yako ni mwanamke!!?sijalielewa bado... !!? Mi nishatambuka reli nipo upande wa pili....
Mkuu, wanawake wa zamani wakiwemo mama zetu hawakuwa na mambo ya haki sawa, hawakuwa na kupambania 50 kwa 50, walikuwa wakiwatii waume zao na walikuwa wanajua nini maana ya ndoa, sio hawa wa sasa, tupo kizazi cha digital mkuu, hawa wanawake wetu wa sasa wanapenda mapenzi ya tamthiliya, kupata mwanamke ambaye atakuwa na sifa za mama zetu ni kazi sana katika wanawake 100 utampata mmoja tu

Kama bado hujanielewa basi
 
Umefanya uamuzi wa busara Kaka. Ningependa tu normalize divorce iwe kitu cha kawaida jamii ya Afrika bado wanamtazamo hasi sana mtu akitoka kwenye ndoa au mahusiano wanakwambia uvumilie shubamit vingine havivumiliki. Kuna yule mwigizaji wa mbele alisema the worst prison is the home without piece. Hata watoto wetu tuwafundishe ndoa ngumu warudi nyumbani kuliko kufanyiwa vitendo vya kikatili.

Feminist nani aliwambia kumnyima unyumba mtu wako ndo suluhisho la matatizo ? Communication is Key kwenye ndoa zungumzeni kutatua changamoto. Last but not a least usikurupuke kuoa Mwanamke au kuolewa kuna umuhimu wa kudate kwanza mchunguzaneni state of mind wengine tayari washachanganyikiwa mnawaoa kuja kulipiza kisasi cha maamuvi ya huko nyuma.
 
Mchanga huo unaongelea aina ya udongo au hatua za ukuaji!!?? Shukuru tu haujakutana na pasua kichwa ... Kuna watu wakubwa kabisa wanafunga ndoa hata mwaka haimalizi.... Nimekaa kwenye ndoa miaka 7 ilikuwa naenda wa 8 .... Unataka kusema nini sijaona !?? Jibanze Hapo mje kuuana....
Mimi nimekomaa kiume 15 years mwisho nikaacha Kila kitu nikajidai nasafiri kikazi nikaenda kupangisha. Nikanunua simu nikamtumia mtoto wangu wa kwanza Ili tuwasiliane Niendelee kuangalia familia nikiwa ng'ambo Ile kule
 
Ukishaoa mwingine utagundua kwamba ulikurupuka. Napenda kusisitiza ndoa ni Agizo la Mungu na ulimpelekea Mungu mkafunga ndoa. Sasa umejisahau unaanza kumuhukumu mwenzako kuwa mkosa. Kaa ombea ndoa yako mpe Mungu aendelee kuitawala. Hapo ibilisi hapendi amani na hapendi ndoa. Furaha ni kwake. Hasira ni za shetan.

Nataman apate Mume. Ubaki na hasira zako na Jamaa lije liishi hapo hapo.
 
Back
Top Bottom