Nimemwachia mali zote, naanza upya

Sometimes kuanza upya is the best option to move forward to the best,najua mpaka umefikia uamuzi huu umekutana na mengi na makubwa ambayo wewe kwa nafsi yako umeona huwez kuvumilia(BORA NUSU SHARI).
Mwanamke anaekupenda na kukuheshimu hawez kukuita MJINGA/MPUMBAFU pia ogopa sana kuishi na mtu ambaye hakumbuki fadhira na kukupa heshima yako.
Naunga mkono uamuzi wako anza upya kuna kitu kizuri kipo mbele ya safari yako mpya(HUSTLE ,BELIEVE AND LIVE).
 
Ww muache aondoke mwanamke ukiomba mzigo ni kama unamnyanyasa anakuambia "humu ndani mimi ni kama natumika, ipo siku utakuta sipo" hii kauli ya "kukuta Sipo" Anairudia mara nyingi, nikamjibu kama hicho ndo unachotaka "ondoka upate Amani"

Mtu kununa kila siku, unamuuliza ili ujue kinachomsibu.... anajibu '' nina mambo yangu yananivuruga we lala tu'' ukifosi kumuuliza zaidi hapo anaweza kuhama hata chumba

Huyu ni mke wangu nina mtoto nae mmoja
Sijawahi kufosi mechi, kupika wala kumlazimisha kufua nguo

Nimeona bora tumalize ila sikupenda hili litokee
 
Doh, pole Sana aisee. Wanawake ifikie mahali tubadilike kdg. Hii haki sawa hii itatuponza...

Kusikiliza mashoga watoe ushauri wa ndoa yangu, hapana kwa kweli. Khaaaa!!!!
Cha ajabu hao makungwi wa haki sawa karibia 80% hawana ndoa zaidi ya Ke wasio na dira yoyote kuhusu familia.

Ndiyo utegemee wawatakie mema wanandoa walioenda kusuluhishwa kwao [emoji848]
 
Pole sana haya mambo yako sana utakuta mtu amesomeshwa,au ametafutiwa kazi na mume wake na anahudumiwa kila kitu baadae anaanza kusikiliza mashost au baadhi ya ndugu afu tatizo hawajui hao mashost wanatamani kuingia Kwenye ndoa ndio hivo hawajabahatika ukiachika wanafurah kimoyo moyo!
 
Why umuachie malii???? Huyo ni wa kufukuzaa akajifunzeee namna ya kuishi na mwanaumeee... ingekuwa nyumba ya kupanga sawaaa ila sio nyumba ya kujenga umzirie mwanamke..
Ukisema wewe mi naweka tiki tuuu😂
 
Kama hajaelewa ndo basi tena😃
 
Hii nayo lazima ni story kubwa yenye funzo pia...
 
Glass ya maji haina uzito kama utaibeba kwa mda mchache ila ukiibeba hiyo hiyo glass kwa masaa kadhaa bila kuiweka chini mkono utaanza kuuma

Ukiendelea kuibeba mkono utaanza kufa ganzi
Dawa ni kuweka chini glass
Haya matatizo usiyabebe sana unayatua na kuendelea na maisha mengine
 
Why umuachie malii???? Huyo ni wa kufukuzaa akajifunzeee namna ya kuishi na mwanaumeee... ingekuwa nyumba ya kupanga sawaaa ila sio nyumba ya kujenga umzirie mwanamke..
Kama ni mali zinatafutwa bwana. Sishauri watu kuachana ila kama mahusiano yanaathiri afya yako ni bora kuachana. Mimi mwaka 2015 niliondoka kwenye ndoa ya miaka 5 nikaacha kila kitu na kuanza upya.
 
Mkuu unafanya makosa makubwa ssana.

1. Kwa nini unaoa na huna backup. Huna mchepuko hata mwenye kakibanda mahali, usingekuwa unakosa papuchi.
 
Pole na mwenyezi mungu akutia nguvu wanawake hawa watatuua maana wanaibua jipya jipe moyo utashinda na jaribu linapita
 
Njoo pm nikushauli kitu usipaniki mungu akutia nguvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…