Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
- Thread starter
-
- #161
Kuna watu hawaelewi... Wanaume tunanyanyaswa sana basi tu ....Ww muache aondoke mwanamke ukiomba mzigo ni kama unamnyanyasa anakuambia "humu ndani mimi ni kama natumika, ipo siku utakuta sipo" hii kauli ya "kukuta Sipo" Anairudia mara nyingi, nikamjibu kama hicho ndo unachotaka "ondoka upate Amani"
Mtu kununa kila siku, unamuuliza ili ujue kinachomsibu.... anajibu '' nina mambo yangu yananivuruga we lala tu'' ukifosi kumuuliza zaidi hapo anaweza kuhama hata chumba
Huyu ni mke wangu nina mtoto nae mmoja
Sijawahi kufosi mechi, kupika wala kumlazimisha kufua nguo
Nimeona bora tumalize ila sikupenda hili litokee
Umeona dunia ilivyo na mengi ...Hii nayo lazima ni story kubwa yenye funzo pia...
Wakiingia kwenye hii TAASISI ya ndoa .... Watajua ...Kama ni mali zinatafutwa bwana. Sishauri watu kuachana ila kama mahusiano yanaathiri afya yako ni bora kuachana. Mimi mwaka 2015 niliondoka kwenye ndoa ya miaka 5 nikaacha kila kitu na kuanza upya.
Acha dharau.If you sleep till the sunrise... Aaah you shoga!
Umesoma Hapo nimefaulu akafeli 2003!!? Nikasema to make story short ... Unataka nieleze mengi ... Nimesoma naye .Ulivyompatapata nadhani ni miongoni mwa chanzo cha tatizo.
Bora wewe ... Unajua watu wanachukulia ndoa kirahisi ... Ogopa kitu unapewa cheti ndio ukafanye mtihani ...Unaweka nyege mbele kwenye mambo seriously. Subiri kwanza tusikie shauri ngumu ngumu
Katika ulimwengu wako wa mapenzi ushakojoza wanawake wangapi!!? Tuanzie Hapo.... Kuwa mkweli halafu nikwambie ukweli wa maisha ...acheni mboyoyo mingi... Maisha ni Amani ,Uhuru na Ukweli ...katika yote ufanyayo.....Mbona gafla mkuuu? Kweli kitandani unamtimizia mkeo? Nachojua mwanamke kama matumizi ya familiya hayasumbui na kitandani shoo unaiweza hawezi kukulete dhalau.
MkuuStori isiwe ndefu.
Mke wangu mtumishi na mimi mtumishi. Anatiwa ujinga na wenzake kila siku, tuna viwanja viwili na kimoja tumejenga. Leo nimempelekea hati za viwanja vyote na a akae navyo.
Na nimemwambia nakuachia mali zote usiliwe KIZEMBE liwa ukiwa na hamu. Naondoka wasikilize hao marafiki zako. Simu nazopigiwa sio za dunia hii.
Nimeamua kumuachia mali zote, nianze upya. Wanawake Mungu anawaona. Sasa naombwa vikao kusululisha wakati ana nionea kijinsia hakutafuta ndugu. Nimekaa miezi hanipi mzigo kwa ustaarabu sikutaka kumuingilia kinguvu.
Leo namuachia kila kitu nilichopambania ameita familia kutatua na kujadili nirudi kwenye ndoa ambayo hajaihudumu zaidi ya mwaka. Mimi Mkristo Mkatoliki ila huu ujinga sitaki
Nimempa kila kitu nianze upya.
Alikuwa na ajira kada ya chini sana ... Mhudumu... Nikamsomesha Qt Akapata credit... Nikamsomesha tena ma maendeleo ya jamii Bweri Musoma ... Sasa napishana naye kwenye vikao ..na Kwa uzoefu wangu akapata mradi wa ukimiwi... Sasa amekutana na viongozi nimemuonyesha njia ... Amenidharau.. sasa... Mimi SI mkongwe ...nilipoenda kufungua shitaka la kuvunja ndoa akalisikia ... Ndio anahangaika ... Miaka 12/3 kazini... Nikae KIZEMBE ....Hua tunawaambia kuoa mwanamke mwenye kiajira ni kujitia kitanzi hamsikii, hao wana jeuri mpaka haifai
Umewai kumkata makofi mawili matatu hata siku moja mkuu?We Mzee ... Mwanamke anakuita mjinga,mpumbavu mbele za watu .. umemjengea , umempa Biashara ,umemsomesha... na alikuwa mhudumu tu wa ofisi ... Umemuwezesha pote huko ... Ya Nini ... Bahati mbaya nimesomesha maendeleo ya jamii na yupo ustawi anajifanya anajua haki za wanawake
..nimemwambia haya yote hayo Hapo .chukua .... Hataki anataka turudiane wakati Mimi sitaki hizo dharau.
.
Kaka huyu nimemshape ... Baadae Ameonekana mzuri ameniletea dharau... Eti tumechuma wote... Nkamwambia haya Mali ni hizo ... Chukua ....naondoka .... Sitaki dharau... Viwanja viwili kwimba ..ni milioni 1.5- 2 ... Wakati nna maeneo anapataga tu Hela hajui....Nakumbuka Kuna jamaa mmoja alimwachia mkewe kila kitu yaan akaondoka zero kabisa ( sababu ilikuwa mkewe alikuwa na mchepuko pia jamaa kazi yake haikuwa stable .akaenda kuanza maisha mapya aisee .MUNGU akamfungulia milango jamaa akapata kazi kubwa Sana akaoa mke mwingine akajenga mjengo wa maana hapa Dar na Hadi Sasa anatembelea zile gari DT Dobie nadhani mmezielewa. Sasa mwanamke Saiv Hana mbele wala nyuma hakumbuki kutengeneza hata nywele..Yale Yale anaenda kwa ndugu wa jamaa kuomba eti warudiane..wakati jamaa kashapata mtu mwingine
Kaka yanguStori isiwe ndefu.
Mke wangu mtumishi na mimi mtumishi. Anatiwa ujinga na wenzake kila siku, tuna viwanja viwili na kimoja tumejenga. Leo nimempelekea hati za viwanja vyote na a akae navyo.
Na nimemwambia nakuachia mali zote usiliwe KIZEMBE liwa ukiwa na hamu. Naondoka wasikilize hao marafiki zako. Simu nazopigiwa sio za dunia hii.
Nimeamua kumuachia mali zote, nianze upya. Wanawake Mungu anawaona. Sasa naombwa vikao kusululisha wakati ana nionea kijinsia hakutafuta ndugu. Nimekaa miezi hanipi mzigo kwa ustaarabu sikutaka kumuingilia kinguvu.
Leo namuachia kila kitu nilichopambania ameita familia kutatua na kujadili nirudi kwenye ndoa ambayo hajaihudumu zaidi ya mwaka. Mimi Mkristo Mkatoliki ila huu ujinga sitaki
Nimempa kila kitu nianze upya.
Nilikuwambia Kuna thread Moja humu nilishaelezea tukio hilo ... Nilipiga kofi nikarudi na kelbu...... Unajua Mimi ni Mkwaya ... Kabila letu haliruhisu kabisa kupiga mwanamke...ukipiga mwanamke laana itayokukuta ... Ndio maana Bukwaya inapotea ... Kwa watu wa Mara wanajua ... Sisi ni WAGANGAJI ....Umewai kumkata makofi mawili matatu hata siku moja mkuu?
Ndi maana nimeomba uhamisho wa kujilipia ... Niondoke eneo hili... Nafikri umenielewa...Kaka yangu
Aliacha kila kitu baada ya kufumania mke wake ndani kwake.Akiliwa kiboga..
Usiku ule 2016 alipoka kwake hakuwahi kurudi mpaka leo hii.
Yupo zake alipo anaendeleza maisha yake aliyoyaamua kuishi pasipo kudhuru wa kuharibu maisha ya aliyemfumania.
Nakueleza..hatua uliyofikia kaa mbali.Hapo sheteni akiwakalia sawa lazima mje kuchinjana.
Mwamba kuna wanawake wazuri kinyama huku duniani.
Amka hapo ulipo lala..kimbia mbali sana. Kabla ya hilo pepo halijakuletea matatizo mchana kweupe.
Mkuu usijari kuhusu mali mimi nina baba angu mdogo aliacha kila kitu na akaenda kuanza maisha mbali huko mkoa wa ruvuma na amepambana na sasahv ana maisha mengine tena mazuri zaidi ya yale ya kwanza cha muhimu muombe mungu tuu afya mali hutafutwa tuu...hawa wanawake wa sasa ni wasumbufu sanaStori isiwe ndefu.
Mke wangu mtumishi na mimi mtumishi. Anatiwa ujinga na wenzake kila siku, tuna viwanja viwili na kimoja tumejenga. Leo nimempelekea hati za viwanja vyote na a akae navyo.
Na nimemwambia nakuachia mali zote usiliwe KIZEMBE liwa ukiwa na hamu. Naondoka wasikilize hao marafiki zako. Simu nazopigiwa sio za dunia hii.
Nimeamua kumuachia mali zote, nianze upya. Wanawake Mungu anawaona. Sasa naombwa vikao kusululisha wakati ana nionea kijinsia hakutafuta ndugu. Nimekaa miezi hanipi mzigo kwa ustaarabu sikutaka kumuingilia kinguvu.
Leo namuachia kila kitu nilichopambania ameita familia kutatua na kujadili nirudi kwenye ndoa ambayo hajaihudumu zaidi ya mwaka. Mimi Mkristo Mkatoliki ila huu ujinga sitaki
Nimempa kila kitu nianze upya.
Mi ni Mkwaya..... Watu wa mkoa wa Mara wantujua tunaitwa "WAGANGAJI"Mkuu sorry wewe ni Msukuma? Huwa mnachukuliwa poaw sana na hawa viumbe
🤣🤣🤣🤣 Jukwaa letu pendwa mmenimiss wengi ..... Ntarudi Naona pm zao ...yaan we ndo shujaa sasa ngoja nimpigie simu putin ukae mstari wa mbele huko ukraine,halafu mzee baba jukwaa la mikeka tumekumis
Asante Kaka Kwa ushuhuda... Wanaume tunanyanyaswa sana....Huna tofauti sana na mimi, mimi nilipangiwa ratiba ya kupewa mbususu, wakati mwengine inafika wiki mbili sijapewa eti ""hajisikii"" kuna ule wimbo wa baba paroko. Kama alinilenga mimi.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mimi aliyekuwa mume wangu alikuwa analeta mchepuko hadi ndani mimi nikiwa safarini. Akashawishiwa na mchepuko wakauza gari yangu. Nyumba tulijenga wote. Lakini nikamuachia kila kitu nikaanza upya mwaka 2015. Mchepuko akaja kumkimbia na sasa yupo tu maisha yanapiga. Amani ya mwili na moyo ni muhimu sana. Ukiendelea kubaki kwenye ndoa ya mateso utaishia kupata msongo wa mawazoKaka yangu