Patra31
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 6,918
- 13,885
Kundi la wanaume linazidi kupungua tu. Yan mwanaume mzima unatumia kauli ya "wajaza choo" na dada zako wasemeje?
Yaani wewe bado ujui kitu chochote kuhusu maswala ya uzazi kama ungekuwa unajua ungemchua ukapime hospital ili ujue kama ni tasa ama la.
Na unahisi wanawake tu ndio matasa? Vip kama ww ndio ukiwa na tatzo na yeye akukimbie kwa kumjazia choo(kama unavyo sema) ama?
Unataka kumpima kwa kigezo cha kubeba mimba ili ujue kama ni mzima je unajua kuwa ata group za damu nazo zinaweza changia watu kutokuweza kupeana ujauzito (mimba zikaishi kuharibika kabla ya mda wake)?
Ebu jaribu kuficha ujinga bas. Huyo mwanamke wako ana akili sana kukuzidi