Mlundilwa Jr
JF-Expert Member
- Dec 11, 2019
- 3,187
- 4,857
- Thread starter
- #41
You means single Maza siyo? Mkuu hebu kuwa seriouseLugha yako ni mbaya hata inatia ukakasi...
Namuunga mkono huyo Binti kwa Asilimia 100%, Asithubutu kujaribu huo mchezo
WEWE kama unataka wadada wanao zaa, mbona wapo warembo mtaani wamezaa na wapo tayari kuolewa?
kwa ushauri ungeweza kupost hivi; NAHITAJI MSICHANA WAKUOA MWENYE MTOTO