Mkalimani wa taifa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2020
- 753
- 1,290
basi sawa proceed Mkuu oaIQ ninayo yakutosha mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
basi sawa proceed Mkuu oaIQ ninayo yakutosha mkuu
Mkuu nauwezo wakukuhudumia wewe na familia yako kwa ujumlaMahusiano ya sasa hivi ni drama toshaah, eti na huyu nae ana partner [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uhakika mkuu changamkia fursaAmekuzidi akili,akubebee alafu umkataee badaee!
Majuto ni mjukuu nami sitaki yanikute"Tasa mjaza choo" ? mwanangu una akili chafu kichizi....
Hapo mwisho nakazia mkuuHayo ni mawazo finyu ya vijana wa Dot.com! Sisi wa zamani tulioa bila kufanya uasherati kama huo, na tuliwakuta wanawake wako vizuri,kitandani,mapishi,heshima,kazi nk
Wewe unafikiri wanawake ni karanga za kuonjwa kabla hujanunua?
These kind of people are disgrace to man kindHata hivyo una mdomo mchafu, mwanaume gani una maneno magumu kiasi hicho? Ati atajaza choo? Na wewe utakuwa unajisaidia wapi?
Mkuu kila mwanaume au mvulana anamaamuzi yake siwezi kufuata procedure yako ktk maisha kila mtu ana kanuni yake ya maishaThese kind of people are disgrace to man kind
Mfano angekuwa ni dada yako/mdogo wako wa kike au binti yako, ungeruhusu aje mwanaume aseme amtie ujauzito kwanza ndipo amuoe au raha kwako ni kuona dada na watoto wa watu wa kike wanaharibiwa bila kuwa na mipango ya maisha inayoeleweka.Wakuu habari
Huyu binti nahisi kaikosa ndoa, yaani ni zoezi simple lakini anashindwa kutekeleza, wakuu sikuizi watu tumeshtuka hatutaki kuoa matasa mwishowe wanaishia kujaza choo tuu, nahisi huyu binti anataka kuzeekea nyumbani.
Inabidi tushtuke wakuu ndoa nyingi zimekosa mvuto kutokana na kukurupuka kuowa mwanamke tasa mjaza choo matokeo yake inakua mzozo kwa ndugu na jamaa kwamba kwanini umeowa gumba.
Mabinti acheni kuchezea bahati wenzenu wanazisaka ndoa kwa waganga Asa endeleeni kushikwa akili na mama zenu.
Atolewe kabisa takataka huyuMimi kama katibu mkuu wa wanaume timamu kichwani..
Naomba bwana mbalizi1 msajili na mshika orodha yetu mr Ushimen wakucheki kama upo kwetu, nina mashaka na wewe..
Na kama upo ndugu wajumbe wa kudumu, kiitwe kikao ujadiliwe fasta
Lee Mwifwa Obe mrangi na wengineo wakujadili..
Bila kukosa mwenyekiti na washauri wake
Pia mr Mshana Jr athibitishe kuwa hujapigwa ulozi.
Hakuna muoaji hapo. Unaoa mtu sababu unataka akubebee ujauzito, tabia za wapi hizo?!We kweli Akili hunaa...unamwambia hivo kabisaa...Mjengeee uaminifu akuamini then Tia mimba kimya kimya halafu akishakwambia tu kuwa ana mimba husikawie anza process apo apo ili uzidi kumjengea imani ila sio kuja apa kulalamika
Wanaanza hivi hivi, na mabinti wa siku hizi wasivyojielewa utaona mtu wa hivi ndio anamkubalia anampa mchezo bila shida na kumuacha awe ndio mwanaume wake, hapo akishatest mitambo anamwambia tena atoe ili amle hadi atapochoka kisha amuache.Ili akishazaa umuite single mama?.
Mbona umetukana na kutotumia lugha isiyo na staha kabisa. Kusema matasha wajaza vyoo. Is not good language Kwa mtu anayejulielewa.Wakuu habari
Huyu binti nahisi kaikosa ndoa, yaani ni zoezi simple lakini anashindwa kutekeleza, wakuu sikuizi watu tumeshtuka hatutaki kuoa matasa mwishowe wanaishia kujaza choo tuu, nahisi huyu binti anataka kuzeekea nyumbani.
Inabidi tushtuke wakuu ndoa nyingi zimekosa mvuto kutokana na kukurupuka kuowa mwanamke tasa mjaza choo matokeo yake inakua mzozo kwa ndugu na jamaa kwamba kwanini umeowa gumba.
Mabinti acheni kuchezea bahati wenzenu wanazisaka ndoa kwa waganga Asa endeleeni kushikwa akili na mama zenu.
KabisaThese kind of people are disgrace to man kind