Mapenzi ya dhati yakoje?
Sijawahi kukutana nayo. Laiti yangekuwa yanauzwa dukani!
Kama huna hata mtoto kwa umri huo,subiria menopause at 45 yrs.
christine ibrahim kindly njoo u clarify kwanini unamshaur dada huyu asizae,
Unajua menopause??
Mambo ya sarai kuzaa at 90 hakikisha mumeo ana imani ya Ibrahim otherwise nature will follow its course
dada mpaka sa8 usiku mnaongea tuu live bila chenga wala umeme kukatikakatika??
ushauri....wewe kama mnapendana bebaneni tu muoane tena kwa shangwe zote! wambie unamiaka28! kwani wakwe watadai cheti cha kuzaliwa???
Nan ana hiyo imani sasa ivi?
Yuko kaka mmoja mtaani kwetu,ni msomi wa kiwango wa Masters plus vyeti vingi vingi tu nyemelezi...ni mtumishi mkufunzi wa chuo mwenye hela nzuri tu....sio kasisi...anakimbilia 50 hakuwahi kupata 'kashfa yoyote' ya kukutwa kasimama na binti na bado anataraji kuoa, kupata watoto na kuwalea...Mimi huwa namwombea aishi miaka walau 150 ili walau aweze kushuhudia mwanae akiwa na mtoto!
Umri wangu ni miaka 44, sijaolewa na sina mtoto. Ninafanya kazi katika taasisi ya serikali, mwanzoni mwa mwaka huu nilipelekwa semina kwa wiki moja. Tukiwa kule kiti changu kilikuwa karibu na kiti cha kijana mmoja, mrefu, nadhifu, mcheshi. Tulifikia hoteli moja, baada ya siku tatu tulishabadishana number za simu maana tuliweza kuelekezana migahawa mizuri kwa chakula. Semina iliisha Ijumaa na tuligwa kwa tafrija baada ya hapo kila mtu aliekea alikotoka.
Mimi na kijana tuliendelea kuwasiliana kwenye whatsApp, imefikia katika hali kuwa, nikiamka asubuhi lazima tusalimiane, tunabadishana picha za lunch, usiku ndio kabisa tunachat masaa mawili-matatu. Ilitokea nikamuuliza hivi unahisi mimi ninamiaka mingapi? Akajibu 28, nilicheka, nikaamua kukaa kimya. Moyo wangu umempenda sana, sasa lakini niliamua kumueleza ukweli. Alistuka na kukaa kimya, nikajua basi ameshaondoka. Kesho yake alinipigia simu akaniuliza kama nilishawahi kuolewa, je ninamtoto. Akajibu umri kwake sio tatizo. Yeye anamiaka 31, anakazi nzuri sana.
Weekend iliyopita alikuja kunitembelea, alifika Jumamosi asubuhi, kwasababu bado tunafahamiana alichukua hoteli mjini, alikuja kwangu jioni, tulikaa tukaongea mpaka saa nane usiku, akaondoka kurudi hotelini kwake, kesho yake alirudi kwake. Dada yangu mkubwa ambae mtoto wake wa kwanza anamiaka 29 ameniambia nimuache kijana kwani ni sawa na mwanangu!! Kijana mwenyewe amekiri kuwa kwao wazazi wataleta zengwe, amenishauri tuzae kwanza kabla hajanipeleka kwao. Ushauri jamani.
https://www.jamiiforums.com/mambo-ya-kikubwa/855141-ana-kibamia-lakini-kilinitoa-machozi.html
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/848606-ameni-dump-kwa-mara-ya-pili.html
https://www.jamiiforums.com/mahusia...-mume-wangu-kumbe-ugenini-unayaweza-hivi.html
https://www.jamiiforums.com/mahusia...uliza-mimi-na-mtoto-wake-tulikutana-wapi.html
hizo ni baadhi ya thread zako humu
bahati nzuti wengine humu huwa hatuchangii sana ila kumbu kumbu ya nani na lini alisema nini huwa tunayo...kwa kifupi acha kuharibu maisha ya kijana na pia acha kuchezea akili za wana mmu.....
In a way tulikuwa tunaongea akaniambia ukikutana na mama yangu wakati unadamu yake mikononi hatakuwa na jinsi, aliongea kama utani lakini ilikuwa sentensi nzito
Uckubali kuzaaa mama angu ohooo
dada mpaka sa8 usiku mnaongea tuu live bila chenga wala umeme kukatikakatika??
ushauri....wewe kama mnapendana bebaneni tu muoane tena kwa shangwe zote! wambie unamiaka28! kwani wakwe watadai cheti cha kuzaliwa???