Nimemzidi umri kwa miaka 12

Nimemzidi umri kwa miaka 12

mostly mwamaume atakayekuja kusetle naye ni above her age ambaye alidivorce/mgane na ana watoto hivyo anahitaji mtu wa kumaliza naye life span.
hata akizaa na huyo kijana akaenda kwa wadogo wenzie atakuwa ameachiwa cha kumfariji.

tatizo wabongo kila kitu tunataka kumtwisha mzigo Mungu.
binti wa miaka 25 anaambiwa subiri Mungu atakuletea mume bora hata huyu anaambiwa asubiri? may be against her own biology.

word.

Hatutaki kukabiliana na ukweli!
 
Unajua ndoa za kiafrika ni ndoa za familia, shangazi, mama mkubwa, mjomba wana say katika ndoa ya kijana wao. Kwahiyo ninatafari na kuelewa anaongea nini lakini mwisho wa yote ananipenda ninajua hicho.

Unajuaje pasi na shaka kwamba anakupenda?

I wish ungemfunulia kwanza kisha ulete mrejesho!

ngoja niombe msaada wa jeshi la MMU...
KOKUTONA, MwanajamiiOne, Fixed Point, Mbu, Kaizer, Asprin...
 
Last edited by a moderator:
Dah... Huyo kijana!!! Mimi Nina uhakika anakutapeli kimapenzi, sijui kwa nini nahisi hivyo. Anataka kukufanyia utapeli wa kimapenzi.

Kama kweli yupo settled na kipato cha uhakika, na wewe una maisha yako, msome kwanza...give it some time..wewe ni mtu mzima, sidhani kama unaendeshwa na mihemko kivile. Mda utakupa majibu yote...ila nna wasiwasi anakutapeli kimapenzi

Siwezi kusema ni tapeli au la, nilimuuliza sababu za yeye kutokuwa na girlfriend akanijibu vizuri tu kuwa kwa muda mrefu alikuwa nje ya nchi kikazi so long distant relationship haikuwork out.
 
Siwezi kusema ni tapeli au la, nilimuuliza sababu za yeye kutokuwa na girlfriend akanijibu vizuri tu kuwa kwa muda mrefu alikuwa nje ya nchi kikazi so long distant relationship haikuwork out.

Unamwamini? Kitu gani kinakufanya umwamini?

Wewe ni mpenzi wa movies?
 
Ngoma ishaenda kingi, miaka yote hiyo hujazaa leo ndio unakumbuka?
 
Kwakweli kwa muda mfupi niliomfahamu amenifanyia vitu vingi vizuri, siongelei material things but care and empathy.

Sasa kwa nini usipate baby na mambo mengine ukayaacha kuchukua mkondo wa nature?

Kitu gani kimekufanya ustukie ushauri wake wa kuzaa kwanza?

Unadhani kwa nini alikutajia mambo ya ndugu zake kuhusu ndoa yenu?
 
Movie sio kwa sana. Jamaa ni gentleman sana na anaexposure amezunguka karibu dunia nzima.

Ahsante kwa majibu na msamehe bure babu kama kakukwaza!

Hayo maswali hata usiponijibu. Naamini utaamua liliojema na ambalo ni nyeti kwa sasa!

kila la heri na karibu kwa bibi utukeletee habari za kajukuu!

Babu DC!
 
Sasa kwa nini usipate baby na mambo mengine ukayaacha kuchukua mkondo wa nature?

Kitu gani kimekufanya ustukie ushauri wake wa kuzaa kwanza?

Unadhani kwa nini alikutajia mambo ya ndugu zake kuhusu ndoa yenu?

Katika malezi yake mama yake mkubwa alimchukua akampeleka U.S.A ambako alisoma secondary, alirudi bongo kuingia chuo sasa ninajua pamoja na wazazi wake, mama mkubwa pia anasay katika maisha ya kijana.
 
Miaka 31 kwa 44 siyo mbaya hata kidogo. Kwa sababu wote mpo kwenye utu uzima. Na miaka siyo tatizo sana, tatizo pia linakuja kwenye umbo. Unaweza kuwa na miaka midogo umbo la kizee ni mbaya. Au ukawa na miaka mingi ila umbo la kitoto/makamu. Kwa miaka yote hiyo je maumbo yenu yanaendana au? Kwa umri wenu wote je mnatarajia kuwa na familia ya watoto wangapi kwa muda wa kipindi gani? kuna vingi vya kuzingatia kabla ya kusema Tunapendana sana. Kupendana sana haitoshi...
 
Sasa tatizo kubwa ni lipi mdogo wangu?
 
mostly mwamaume atakayekuja kusetle naye ni above her age ambaye alidivorce/mgane na ana watoto hivyo anahitaji mtu wa kumaliza naye life span.
hata akizaa na huyo kijana akaenda kwa wadogo wenzie atakuwa ameachiwa cha kumfariji.

tatizo wabongo kila kitu tunataka kumtwisha mzigo Mungu.
binti wa miaka 25 anaambiwa subiri Mungu atakuletea mume bora hata huyu anaambiwa asubiri? may be against her own biology.

Kwa hiyo unamshauri acheze bahati nasibu? Kwamba wakipata mtoto, hata jamaa akimuacha awe na Faraja ya kuwa na mtoto?
 
Miaka 31 kwa 44 siyo mbaya hata kidogo. Kwa sababu wote mpo kwenye utu uzima. Na miaka siyo tatizo sana, tatizo pia linakuja kwenye umbo. Unaweza kuwa na miaka midogo umbo la kizee ni mbaya. Au ukawa na miaka mingi ila umbo la kitoto/makamu. Kwa miaka yote hiyo je maumbo yenu yanaendana au? Kwa umri wenu wote je mnatarajia kuwa na familia ya watoto wangapi kwa muda wa kipindi gani? kuna vingi vya kuzingatia kabla ya kusema Tunapendana sana. Kupendana sana haitoshi...

Sawa. Ila tofauti hiyo kwa bongo ni ndogo?

At retirement, dogo atakuwa na umri gani na atakuwa wapi?

Ndoa ni zaidi ya ngono mkuu!
 
Kila mtu anapenda hivyo
but ndoa zenyewe ziko wapi?
ukizaa nae angalau utapa faraja kwamba ulizaa na ulie mpenda

ukiendelea kuchelewa utakuja zaa na yeyote yule available

Kweli mkuu.

Huyu dada ana bahati kubwa. Kwa umri wake bado amepata mtu amabaye eti "wanapendana". Angejua kuwa wapo watu kibao hata kwenye ndoa waliamua kuchukuana tu na kuzaa, asingepoteza hata sekunde.

Sijui kwa nini haioni hii shilingi kwenye tundu la choo!
 
Back
Top Bottom