Nimemzidi umri kwa miaka 12

Nimemzidi umri kwa miaka 12

Pole sana.but kama huyo kijana ulimuuliza age yako na akasema una 28 bas unamwili mzuri sana
Back to the point ni kwamba penzi halina umri believe me kuwa chochote huwa na sababu so be a risk taker amua moja usizae nae kama unahisi wazo lako ni kumpata anayekupenda na sio mtoto so kuwa mpole mwambie muoane kwanza mama sawaaa eeee maana wewe si eneo la majalibio hitaji lako ni kuwa na mtu na sio mtoto ambae ni matokeo ya upendoo
 
Dada inaonyesha umempenda sana jamaa,Hili si tatizo kabisa.
Mimi sioni ubaya wa kufanya mahusiano na kijana,kikubwa ni wewe kujua unachotaka tu.
Kwanza unahitaji faraja na umeona unaweza kuipata hapo,Chukua!
Pili unahitaji mtoto(wa),usiwe na woga,beba mimba kama unajimudu mwenyewe,akiwepo sawa,asipowepo sawa pia,lakini ni lazima hata maramojamoja atajitokeza kukusaidia.
Ikitokea amebaki,BINGO.
Asipokuwepo haijala kwako,utafaidika kwa mtoto(wa).
Wengine wanaokucheka humu ni single mothers!kwanini wewe iwe ajabu.USILAZE DAMU,muda unapotea
 
44 parefu sana aisee,sema ni heri ukubali mzae tu maana umri wako unazidi kukata tu,soon utashindwa kushika mimba
 
44 years bado uko single?

Ulikuwa na tatizo lolote huko nyuma ana nini shida?

Kwa mwanamke kama wewe wa umri wako tena uko single, getting men by incident, bora uzae tu ulee wanao.

Suala la kuolewa fanya kama pata potea.. ila kuzaa muhimu.
 
Sikia bi shosti!!
ZaaZaa​
We mpk.hapo kwani huhitaji mtoto,bebaaa mimba zaaa kwa ajili yako!
Watu humu wanakusgauri oh ukizaa atakuacha sijui kwanini hujaolewa ungekuja na havari za umezaa na mume wa mtu yangekuwa gaya haya!
Zaa tu sweetie!!
Akikuoa poa asipokuoa poa!!
Kwanza bora asikuoe ni kama he is not proud of u!!!
Mfanye tu sperm donor!!!
Mimi, Kongosho , Kaunga na King'asti tutakufanyia baby shower

babu Dark City shikamoo
 
Last edited by a moderator:
Sikia bi shosti!!
ZaaZaa​
We mpk.hapo kwani huhitaji mtoto,bebaaa mimba zaaa kwa ajili yako!
Watu humu wanakusgauri oh ukizaa atakuacha sijui kwanini hujaolewa ungekuja na havari za umezaa na mume wa mtu yangekuwa gaya haya!
Zaa tu sweetie!!
Akikuoa poa asipokuoa poa!!
Kwanza bora asikuoe ni kama he is not proud of u!!!
Mfanye tu sperm donor!!!
Mimi, Kongosho , Kaunga na King'asti tutakufanyia baby shower

babu Dark City shikamoo

aisee!! AzAe tu siyo!!
 
Last edited by a moderator:
Sikia bi shosti!!
ZaaZaa​
We mpk.hapo kwani huhitaji mtoto,bebaaa mimba zaaa kwa ajili yako!
Watu humu wanakusgauri oh ukizaa atakuacha sijui kwanini hujaolewa ungekuja na havari za umezaa na mume wa mtu yangekuwa gaya haya!
Zaa tu sweetie!!
Akikuoa poa asipokuoa poa!!
Kwanza bora asikuoe ni kama he is not proud of u!!!
Mfanye tu sperm donor!!!
Mimi, Kongosho , Kaunga na King'asti tutakufanyia baby shower

babu Dark City shikamoo

Bwana aweza kumchukua mtumishi wake sasa.......

Hii sauti ni zaidi ya sauti ya unabii.....

Bahati nzuri nimedokezwa kuwa wengi wameguswa...

Wewe na babu muna kazi maalum.....hebu changamkia appointment kwa bibi chap chap!
 
Ungekuwa in your 20s ningekwambia usizae kwasababu umri upo, lakini ni kuwa umri unayoyoma na chances za kuzaa baadae ni chache. Mimi naona zaa ikiwa maadili yako yanakuruhusu, kama mambo ya ndoa hayakuwa atleast utakuwa na mtoto na kama ni mtu mwenye wadhifa mzuri atleast kuna hope ya kupata malezi incase it didn't work out. At age of 31 he must have good sperm quality, hiyo inapeleka wewe kuwa na uwezekano zaidi wa kupata mtoto. Mfanye sperm donor bwana, you have got nothing to lose!

Huyo dadako anayekwambia usifanye hizo tayari anafamilia yake na ana mtu wa uzeeni wa kumwangalia au kumfariji, sometimes life is not fair you have to take some tough decision.

Chukua mfano wa Halle Berry na Maria Carey and too many others they were investing on themselves when they decided to have kids with young men, maana mapenzi ya siku hizi ni kubahatisha kupata mtu mwenye ya kweli na kama ulivyosema ulimsubiri mtu and it sucks big time.


Sky Eclat
 
Mbona unanikimbia wakati nakuhitaji sana mjukuu wangu?

Hebu msimulie hadithi basi huyu dada yako...

Hii habari nzito babu.
Najaribu kuutafakari tofauti ya umri, japo kwao inaweza kuwa si tatizo, lakini familia za kibongo bwana wazazi mawifi na mashemeji wanaweza kulishadadia hilo hadi kisieleweke.
Niliwahi kushuhudia familia moja wana mwambia kaka yao, unataka kutuletea wifi bibi?

Simshauri kuzaaa, unless anataka mtoto wake wa kumlea mwenyewe hapo sawa. Lakini kuzaa kwa ajili ya kutegea ndoa ikija kutokea tofauti ataumia sana.

Unless wawe na misimamo thabiti na maamuzi yao binanfi regardless pressure za family.

Umri ni namba tu.

cc: Sky Eclat

Babu ukisikia kuna mgane huko ustaafuni kwenu anataka mke uniambie 😛eep:😛eep:
 
Last edited by a moderator:
Tena ngoja nikuletee ovulation.detector!
Huhuhuhuhuhu,mwezi ujao tuanzage kwenda kunywa juwisi ya miwa na mishkaki ya mia!

Najitolea kukusindikiza mwayego!
 
aisee AzAe tu siyo!!
Ndiwoooooooooo!
Mambo ya oh sijui wazazi wangu hatakubali?
Wooooih ,By the way nani anataka kuanza kuitwa mkamwana sijui mwalimwana by the age of 44.??
Kupeana stress tu za kujifunza kufunga kanga. Kiunpni wakati ushajizoelea kufunga kanga kifuani!
 
Sikupenda kuchelewa, nilimsubiri mtu ambae mwisho wa yote alikutana na mwingine akaoa ila yote ni mipango ya Mola.

I have been there.i feel ua pain kuchwa ulipopenda ni noma.. Ila kusema kweli miaka 44 cycle itazima muda wowote hizo ni dakika za majeruhi na hata ukipata mimba u must have good doctor attension maana nyonga zimeshakomaa so kama unapenda mtoto we zaa tu and don't expect too much from him. Ila ukisema unasubiri ndoa ndo uzae wakati hata huyo mchumba wa uhakika huna umri unasonga mbele.
 
Sikia bi shosti!!
ZaaZaa​
We mpk.hapo kwani huhitaji mtoto,bebaaa mimba zaaa kwa ajili yako!
Watu humu wanakusgauri oh ukizaa atakuacha sijui kwanini hujaolewa ungekuja na havari za umezaa na mume wa mtu yangekuwa gaya haya!
Zaa tu sweetie!!
Akikuoa poa asipokuoa poa!!
Kwanza bora asikuoe ni kama he is not proud of u!!!
Mfanye tu sperm donor!!!
Mimi, Kongosho , Kaunga na King'asti tutakufanyia baby shower

babu Dark City shikamoo
Yani kama upo kwenye mind yangu. At that age, mi wala nisingejiuliza mara mbili. Ni kukubali tu hiyo offer ya sperm, nipate mwanangu nilee.
 
Umri wangu ni miaka 44, sijaolewa na sina mtoto. Ninafanya kazi katika Taasisi ya Serikali, mwanzoni mwa mwaka huu nilipelekwa semina kwa wiki moja.

Tukiwa kule kiti changu kilikuwa karibu na kiti cha kijana mmoja, mrefu, nadhifu, mcheshi. Tulifikia hoteli moja, baada ya siku tatu tulibadilishana number za simu maana tuliweza kuelekezana migahawa mizuri kwa chakula.

Semina iliisha Ijumaa na tuliagwa kwa tafrija baada ya hapo kila mtu aliekea alikotoka.

Mimi na kijana tuliendelea kuwasiliana kwenye whatsApp, imefikia katika hali kuwa, nikiamka asubuhi lazima tusalimiane, tunabadishana picha za lunch, usiku ndio kabisa tunachat masaa mawili-matatu. Ilitokea nikamuuliza hivi unahisi mimi nina miaka mingapi?

Akajibu 28, nilicheka, nikaamua kukaa kimya. Moyo wangu umempenda sana, sasa lakini niliamua kumueleza ukweli. Alishtuka na kukaa kimya, nikajua basi ameshaondoka.

Kesho yake alinipigia simu akaniuliza kama nilishawahi kuolewa, je nina mtoto. Akajibu umri kwake sio tatizo. Yeye ana miaka 31, anakazi nzuri sana.

Weekend iliyopita alikuja kunitembelea, alifika Jumamosi asubuhi, kwa sababu bado tunafahamiana alichukua hoteli mjini, alikuja kwangu jioni, tulikaa tukaongea mpaka saa nane usiku, akaondoka kurudi hotelini kwake, kesho yake alirudi kwake.

Dada yangu mkubwa ambae mtoto wake wa kwanza ana miaka 29 ameniambia nimuache kijana kwani ni sawa na mwanangu! Kijana mwenyewe amekiri kuwa kwao wazazi wataleta zengwe, amenishauri tuzae kwanza kabla hajanipeleka kwao.

Ushauri jamani

Ujana wako ule mwenyewe sahvi unataka dogo dogo, tafuta mzee mwenzako ulikuwa wapi
 
Yani kama upo kwenye mind yangu. At that age, mi wala nisingejiuliza mara mbili. Ni kukubali tu hiyo offer ya sperm, nipate mwanangu nilee.

Ya kutambshwa kwao sijui.and the wat mi hata nisingeyawaza
Yani mambo mengine hata hayataki kuujiuliza!
Ni kujilipua t
Akiwepo kukuchua miguu ikivimba poa asipokuwepo poa tuu!!
 
Back
Top Bottom