kilimbamula
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 1,792
- 853
Miaka 44 unazaa mjukuu wako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajuaje pasi na shaka kwamba anakupenda?
I wish ungemfunulia kwanza kisha ulete mrejesho!
ngoja niombe msaada wa jeshi la MMU...
KOKUTONA, MwanajamiiOne, Fixed Point, Mbu, Kaizer, Asprin...
Sikia bi shosti!!ZaaZaaWe mpk.hapo kwani huhitaji mtoto,bebaaa mimba zaaa kwa ajili yako!
Watu humu wanakusgauri oh ukizaa atakuacha sijui kwanini hujaolewa ungekuja na havari za umezaa na mume wa mtu yangekuwa gaya haya!
Zaa tu sweetie!!
Akikuoa poa asipokuoa poa!!
Kwanza bora asikuoe ni kama he is not proud of u!!!
Mfanye tu sperm donor!!!
Mimi, Kongosho , Kaunga na King'asti tutakufanyia baby shower
babu Dark City shikamoo
😛eep:😛eep: shkamoo babu.
Sikia bi shosti!!ZaaZaaWe mpk.hapo kwani huhitaji mtoto,bebaaa mimba zaaa kwa ajili yako!
Watu humu wanakusgauri oh ukizaa atakuacha sijui kwanini hujaolewa ungekuja na havari za umezaa na mume wa mtu yangekuwa gaya haya!
Zaa tu sweetie!!
Akikuoa poa asipokuoa poa!!
Kwanza bora asikuoe ni kama he is not proud of u!!!
Mfanye tu sperm donor!!!
Mimi, Kongosho , Kaunga na King'asti tutakufanyia baby shower
babu Dark City shikamoo
Mbona unanikimbia wakati nakuhitaji sana mjukuu wangu?
Hebu msimulie hadithi basi huyu dada yako...
aisee!! AzAe tu siyo!!
Uckubali kuzaaa mama angu ohooo
Ndiwoooooooooo!aisee AzAe tu siyo!!
Sikupenda kuchelewa, nilimsubiri mtu ambae mwisho wa yote alikutana na mwingine akaoa ila yote ni mipango ya Mola.
Yani kama upo kwenye mind yangu. At that age, mi wala nisingejiuliza mara mbili. Ni kukubali tu hiyo offer ya sperm, nipate mwanangu nilee.Sikia bi shosti!!ZaaZaaWe mpk.hapo kwani huhitaji mtoto,bebaaa mimba zaaa kwa ajili yako!
Watu humu wanakusgauri oh ukizaa atakuacha sijui kwanini hujaolewa ungekuja na havari za umezaa na mume wa mtu yangekuwa gaya haya!
Zaa tu sweetie!!
Akikuoa poa asipokuoa poa!!
Kwanza bora asikuoe ni kama he is not proud of u!!!
Mfanye tu sperm donor!!!
Mimi, Kongosho , Kaunga na King'asti tutakufanyia baby shower
babu Dark City shikamoo
Umri wangu ni miaka 44, sijaolewa na sina mtoto. Ninafanya kazi katika Taasisi ya Serikali, mwanzoni mwa mwaka huu nilipelekwa semina kwa wiki moja.
Tukiwa kule kiti changu kilikuwa karibu na kiti cha kijana mmoja, mrefu, nadhifu, mcheshi. Tulifikia hoteli moja, baada ya siku tatu tulibadilishana number za simu maana tuliweza kuelekezana migahawa mizuri kwa chakula.
Semina iliisha Ijumaa na tuliagwa kwa tafrija baada ya hapo kila mtu aliekea alikotoka.
Mimi na kijana tuliendelea kuwasiliana kwenye whatsApp, imefikia katika hali kuwa, nikiamka asubuhi lazima tusalimiane, tunabadishana picha za lunch, usiku ndio kabisa tunachat masaa mawili-matatu. Ilitokea nikamuuliza hivi unahisi mimi nina miaka mingapi?
Akajibu 28, nilicheka, nikaamua kukaa kimya. Moyo wangu umempenda sana, sasa lakini niliamua kumueleza ukweli. Alishtuka na kukaa kimya, nikajua basi ameshaondoka.
Kesho yake alinipigia simu akaniuliza kama nilishawahi kuolewa, je nina mtoto. Akajibu umri kwake sio tatizo. Yeye ana miaka 31, anakazi nzuri sana.
Weekend iliyopita alikuja kunitembelea, alifika Jumamosi asubuhi, kwa sababu bado tunafahamiana alichukua hoteli mjini, alikuja kwangu jioni, tulikaa tukaongea mpaka saa nane usiku, akaondoka kurudi hotelini kwake, kesho yake alirudi kwake.
Dada yangu mkubwa ambae mtoto wake wa kwanza ana miaka 29 ameniambia nimuache kijana kwani ni sawa na mwanangu! Kijana mwenyewe amekiri kuwa kwao wazazi wataleta zengwe, amenishauri tuzae kwanza kabla hajanipeleka kwao.
Ushauri jamani
Yani kama upo kwenye mind yangu. At that age, mi wala nisingejiuliza mara mbili. Ni kukubali tu hiyo offer ya sperm, nipate mwanangu nilee.