Nimemzingua konda wa gari akaniita bachela. Muonekano wa bachela unatofautiana vipi na mwenye ndoa?

Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
5,715
Reaction score
13,739
Leo asubuhi nikapanda zile gari hapa daressalam al maarufu zinaitwa daladala konda akawa anamsumbua abiria wa kike hataki kumrudishia chenji yake ikabidi niingilie ule ugomvi kwa kumpiga konda mkwara mzito mwisho wa siku akaanza kulalamika kuwa yeye ana familia na mimi sina familia. Kwa kunitazama tu akaniita mimi ni bachela.

Hivi wakuu bachela muonekano wake uko vipi na mwenye familia muonekano wake uko vipi?
 
You took it personal 😀😀😀
 
Mimi uvaaji wangu ni smart sana na huwa napendelea kuvaa shati na jeans labda muonekano wa mavazi yangu ndio ulimchanganya
 
Kwanini umpinge mwamba usapport pisi? Hata kama pisi ina haki sikuzote simama upande wa mwana.
 
Back
Top Bottom