Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
😂😂Anahisi Waliooa wanavaa mabwanga
You took it personal 😀😀😀Leo asubuhi nikapanda zile gari hapa daressalam al maarufu zinaitwa daladala konda akawa anamsumbua abiria wa kike hataki kumrudishia chenji yake ikabidi niingilie ule ugomvi kwa kumpiga konda mkwara mzito mwisho wa siku akaanza kulalamika kuwa yeye ana familia na mimi sina familia. Kwa kunitazama tu akaniita mimi ni bachela.
Hivi wakuu bachela muonekano wake uko vipi na mwenye familia muonekano wake uko vipi?
Shoga hawezi kuwa na pigo za kigumu kama za kwangu nilimpiga mkwara mpaka machozi yakamtokaaBachera ni nini?
Huwa navaa vizuri sana mkuu na hata nikisafiri huwa nabeba pasi ndogoShati umenyoosha?
Nywele ulichana?
Huwa napenda cap kujikinga na mwanga wa juaUlikuwa hujachana nywele?
makonda tena[emoji41][emoji41][emoji41]Tafuta helo,fekon used 700,000 uachane na dharau za makonda