Nimemzingua konda wa gari akaniita bachela. Muonekano wa bachela unatofautiana vipi na mwenye ndoa?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Pole Sana mkuu bachera utoto mwingi Sasa sjui kakuonaje?
 
Itakuwa jinsi unavyoongea.
Mtu mwenye familia lugha zake huwa si za kihuni kwa sababu watoto huwa wanakuza mwanaume.
Hapo most likely ni lugha uliyotumia kuuwasilisha mkwala.
Ungempiga mkwala wa TISS hapo asingekuita bachela.
 
Mwizukulu?! kama sura yako ni kama ya huyo kwenye avatar yako basi hakuna namna, we ni bachela.
 
Bora ufikiriwe bachelor na una ndoa yako na mtoto kuliko kila ukipita uulizwe mke na watoto au familia haijambo na wakati huna. Inachoma zaidi ya pasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…