KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Unaushauri mzuri ila kwako Sasa kinavyoumanaga! Unakifurushi Cha kuumana Cha mwaka mzima..🤣Duh pole mkuu! Ila hajawahi kukwambia sababu kabisa? Ama alishawahi kukwambia before ukamuignore sababu ni vitu vidogo vidogo? Je ukimuuliza anakaa kimya au anajibu?. ila Huyo mwanamke naye aache gubu ,suluhisho ni kuongea, kuombana msahama na kusonga mbele. Kununiana siyo vizuri kwa ustawi wa familia.
Nawe sikuachi upite hivihivi zawadi yako hii hapa