KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Lou bega[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huo wimbo kaimba nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lou bega[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huo wimbo kaimba nani?
Umemtafsri vibaya. Amemaanisha ndoa ya ki Islam Wala huangaiki kuachana ni suala la dakika tu. Lkni ndoa za kanisani kuachana ni process kwasabbu mkataba unasema "mpaka kifo" wakati kwenye uislam unapooma mambo mazito toa talaka fanya mambo yako.Acha kuingilia imani za watu amani ya kiislamu ipi au ile ya kuvaa juba na mbona wako wachache wanaovaa au aya imeshuka ikisema msivae tena?karibu 95% mna ndoa moja kama wakristo!
[emoji23][emoji23][emoji23] nakupata kabisa.Wanawake wakiwa wanabembeleza ndoa wanaheshima balaa kuna demu hapa kaniganda kila nkimtafutia kosa la kumuacha spati kosa maana huwa ananiomba msamaha hata asipokua na kosa lolote kma haka nikijidanganya nikaowe najua yatanikuta hayo hayo tu[emoji1]
Ukiwa mnyinge sana mwanamke anakutawala ,kuwa mkali atatulia ,usiseme unavumilia ni Mbaya ,Kuwa baba yaan play Ur Role NiggaKurudi hataki anasema nikishindwa nisepe yy atakaa kwenye nyumba ya mtoto wake ambae ni mtoto tuliyezaaa
Mm nikijana ambaye tayari nina miaka 30,nilifunga ndoa yangu mwaka 2019.Ndoa yangu imekua ya furaha kwa miezi 6 pekeee baaada ya hapo mambo yaliharibika na sjui ni kwanini,nakumbuka siku moja natoka zangu kazini na mkuta wife kajamu,nilipouliza kulikoni skupata jibu,kuanzia hapo hatuna mawasiliano zaidi ya kuwasiliana kama kuna kitu kimepungua nyumbani ntapewa taaarifa.uchumi wangu umeyumba sababu ya hizi vurungu,nimefunga nakuomba hakuna ndoa haitulii kuna wakati nikiona mtu na mke wake wakitembea njiani huku wakipiga stori na kucheka naona nijambo la ajabu nijiuliza inawezekanaje hii?. Nimejaribu kushirikisha ndugu zake bado hatoi majibu nn ambacho nilimkosea.kiukweli nimeshutuka baada ya watu wawili kuniuliza kwanini nakonda, kwann sina amani kama zamani,mm ndugu zangu nibingwa wa kuvumilia matatizo lakini kwa hili nimenyoosha mikono nimeamua niondoke nikaaanze maisha mapya ili nipate amani ya moyo wangu,mungu ataibarika kazi ya mikono yangu ntainuka tena.
Huyo moyo ushahama,we achana nae tu.Nakuambia kwa sababu mwaka uliofunga ndoa nami ni ivoivo,na majanga mi yalianzia honeymoon.Kiufupi mwenzako hajawahi kukupenda toka moyoni...wazazi wetu wanatushaurigi hata kama humpendi we ingia ivoivo kumpata bwana wa kukuoa kwa miaka ya sasa ni ngumu,shukuru umepata(ko ngoma inakuwa ndani ya ndoa sasa)Sijui tatizo sasa mwaka na kitu,huwezi amini nakonda mbaya kuishi na mtu ndani lakini kama hatufahamiani vile.na huwezi fanya suluhu na mtu ambae hakuambii umekisea wap.
YaleyaleMm nikijana ambaye tayari nina miaka 30,nilifunga ndoa yangu mwaka 2019.Ndoa yangu imekua ya furaha kwa miezi 6 pekeee baaada ya hapo mambo yaliharibika na sjui ni kwanini,nakumbuka siku moja natoka zangu kazini na mkuta wife kajamu,nilipouliza kulikoni skupata jibu,kuanzia hapo hatuna mawasiliano zaidi ya kuwasiliana kama kuna kitu kimepungua nyumbani ntapewa taaarifa.uchumi wangu umeyumba sababu ya hizi vurungu,nimefunga nakuomba hakuna ndoa haitulii kuna wakati nikiona mtu na mke wake wakitembea njiani huku wakipiga stori na kucheka naona nijambo la ajabu nijiuliza inawezekanaje hii?. Nimejaribu kushirikisha ndugu zake bado hatoi majibu nn ambacho nilimkosea.kiukweli nimeshutuka baada ya watu wawili kuniuliza kwanini nakonda, kwann sina amani kama zamani,mm ndugu zangu nibingwa wa kuvumilia matatizo lakini kwa hili nimenyoosha mikono nimeamua niondoke nikaaanze maisha mapya ili nipate amani ya moyo wangu,mungu ataibarika kazi ya mikono yangu ntainuka tena.
Miaka 25Unahisi tatizo ni nini ?, ... hebu funguka..!
Chanzo?
Ana miaka mingapi?
Dec 2020 alisema hajaoa na anawakinai wanawake mara akilala nao.Pole sana bro. I'm around your age japo nimekuzidi miaka kadhaa michache. Nina miaka minne tu kwny ndoa.
Binafsi miezi 6 hadi mwaka wa kwanza ndio kidogo shida ilikuwepo. Nadhani ni ile kuanza kuzoeana kuishi pamoja na kuharmonise tofaui zenu kitabia,mitazamo nk. Hii ni hata kama mlikua mkiishi pamoja kabla ya ndoa bado hutokea. Mfano mimi niliishi nae na tulipata mtoto wa kwanza kabla ya ndoa (sasa tunao wawili) na bado miezi 6 ya kwanza hadi mwaka baada ya ndoa hali ilikua si nzuri.
Kwa nini najiexpose na kusema haya yote? Pengine it may help you with perspective. Pambana kunusuru ndoa yako. It will get better na niamini mimi, mkivuka hapa mtafika mbali sana na your next storm ni pale kwny mid life crisis. Mkivuka hii stage yenu ya sasa mapenzi ndio hua moto moto utakuja kupost thread huku kusimulia unavyo enziwa[emoji23]
Kila la heri. My prayers with you.
PS[emoji41] (out of scope) au aliona hii thread ikapalilia moto?
Kila nikikutana na mwanamke kimwili mara mbili simtamani tena
Wasalamu, Bila kupoteza muda kwanza mimi kijana mwenye umri wa miaka 28 sijaoa hadi mpaka leo japo kimaisha siko vibaya kivile namshukuru Mungu kwa hilo. Sijaoa kwa sababu ambazo hata mimi nikikaa hua najishangaa kwa mambo yanayonitokea. Tatizo lenyewe ni hili nikimuona mwanamke mzuri nampenda...www.jamiiforums.com
Ulilosema inawezekana likawa kweli Ila kwa upande wake, miezi 6 ya mwanzo, bibie alikuwa analeta usanii, na baada ya hapo hadi sasa anaishi uhalisia wa jinsi alivyo.Pole sana bro. I'm around your age japo nimekuzidi miaka kadhaa michache. Nina miaka minne tu kwny ndoa.
Binafsi miezi 6 hadi mwaka wa kwanza ndio kidogo shida ilikuwepo. Nadhani ni ile kuanza kuzoeana kuishi pamoja na kuharmonise tofaui zenu kitabia,mitazamo nk. Hii ni hata kama mlikua mkiishi pamoja kabla ya ndoa bado hutokea. Mfano mimi niliishi nae na tulipata mtoto wa kwanza kabla ya ndoa (sasa tunao wawili) na bado miezi 6 ya kwanza hadi mwaka baada ya ndoa hali ilikua si nzuri.
Kwa nini najiexpose na kusema haya yote? Pengine it may help you with perspective. Pambana kunusuru ndoa yako. It will get better na niamini mimi, mkivuka hapa mtafika mbali sana na your next storm ni pale kwny mid life crisis. Mkivuka hii stage yenu ya sasa mapenzi ndio hua moto moto utakuja kupost thread huku kusimulia unavyo enziwa[emoji23]
Kila la heri. My prayers with you.
PS[emoji41] (out of scope) au aliona hii thread ikapalilia moto?
Kila nikikutana na mwanamke kimwili mara mbili simtamani tena
Wasalamu, Bila kupoteza muda kwanza mimi kijana mwenye umri wa miaka 28 sijaoa hadi mpaka leo japo kimaisha siko vibaya kivile namshukuru Mungu kwa hilo. Sijaoa kwa sababu ambazo hata mimi nikikaa hua najishangaa kwa mambo yanayonitokea. Tatizo lenyewe ni hili nikimuona mwanamke mzuri nampenda...www.jamiiforums.com
hahahahaMama maeeee...
Mkiambiwa MSIOE Huwa HAMSIKIII.
Tomb* halafu pita hivi uone ni nani atakuumiza.
Mungu awe nawe.
#YNWA
Aisee noma hii kumbe Mungu analimit ktk kutusaidiaInaonekana hujamzalisha, inaonekana hujampa mimba.
Ikiwezekana ongeza mke wa pili ufute machungu.
Umesema pia umefunga na kuomba lakini mambo ni yale yale, mungu hasaidii mkuu, kwenye hali kama hzo mungu hana msaada.
Aiseee ee. Hili umenena bro wanguUlilosema inawezekana likawa kweli Ila kwa upande wake, miezi 6 ya mwanzo, bibie alikuwa analeta usanii, na baada ya hapo hadi sasa anaishi uhalisia wa jinsi alivyo.
Duuh ☹☹☹☹☹Umesema pia umefunga na kuomba lakini mambo ni yale yale, mungu hasaidii mkuu, kwenye hali kama hzo mungu hana msaada.