Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Mjadala wa suala la ubora wa Chama. Umefungwa. Tujadili mambo mengine. Chama ni mchezaji mwenye kipaji cha kipekee sana. Nakumbuka mwenyekiti wetu Hersi alishasema Chama ni classic player ambaye hata Yanga tulipenda kuwa naye.
Chama anakupa vitu vingi uwanjani. Yaani una enjoy kumtizama. Anapokuwa na mpira Chama hujui atafanya nini kwa wakati gani. Binafsi nimejikuta sina namna isipokuwa kukubali kuwa Chama ni best player kwa sasa nchini Tanzania.
Siipendi team anayochezea lakini hilo haliondoi ubora wake. Ni raha kumtizama, anapenda mpira, ana enjoy mpira. Anaburudisha. Hatujapata mchezaji kama Chama kwa miaka yote ambayo amekuwepo nchini. Huo ni ukweli usiofichika. Tuache wivu wa kike na unafiki ulio kubuhu.