Nimenawa Mikono kwa Suala la Chama. Hersi alikuwa sahihi

Nimenawa Mikono kwa Suala la Chama. Hersi alikuwa sahihi

Sema mechi ikimkataa anakuwa anaboa sana. Ila ni bonge la mchezaji
 
Sema mechi ikimkataa anakuwa anaboa sana. Ila ni bonge la mchezaji
 
“Kwa hapa Tz na ligi yetu Chama hana mpinzani, Period.”
Alisikika kijana mmoja kwenye kibanda cha mihogo jangwani[emoji16]
 
Kama kweli Hersi alisema hivo basi na mi namkubali ila kama umetudanganya Engineer hakumsifia utakuwa umetukosea wananchi
 
Jana nilikuwa na jamaa yangu wa Yanga tunaangalia mechi ya Ruvu, alisema kwa kweli chama ni bonge la fundi, yaani anasema zile assist zinazopotea hovyo pale mbele angkuwa anapewa Mayele sasa hivi tungekuwa tunaongea habari nyingine.
 
Hilo ndio Kombe la Ngada Sc wanajua kutafuta machaka ya Furaha hao... Msimu ulioisha Mpole ndio lilikua Kombe lao msimu huu kombe lao ni Chama & Makundi Club Bingwa [emoji2957][emoji125]
 
Back
Top Bottom