Alitupeleka fainali ya FA last season kwa bonge la bao pale Kirumba. Aliwafunga Mbumbumbu SCFeisal ashafanya nn cha kusisimua
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alitupeleka fainali ya FA last season kwa bonge la bao pale Kirumba. Aliwafunga Mbumbumbu SCFeisal ashafanya nn cha kusisimua
Nawe kumbuka zile 4 nusu fainali ya FAAlitupeleka fainali ya FA last season kwa bonge la bao pale Kirumba. Aliwafunga Mbumbumbu SC
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Namzungumzia Feisal. HatusutaniNawe kumbuka zile 4 nusu fainali ya FA
Ndo ivo sura kama anauza ngadaChama angejaaliwa sura fulani ya ki-handsome angekuwa Dinho mtupuuuu
Chama pia ashapiga bao moja na asist moja kwa fraga mbele ya cassava fc na kuisadia simba kutinga hatua ya fainal ya FA.Alitupeleka fainali ya FA last season kwa bonge la bao pale Kirumba. Aliwafunga Mbumbumbu SC
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
angekuwa mchezaji wa maana asingekubal kucheza confederation
Na kuponda kuishie kwenye utani tu.Ukiwa kwenye mazungumzo makini unaacha kusema uongo.Ndiyo uungwana.Ni uungwana kumpa sifa anazostahili mchezaji wa timu pinzani.
Hata sisi wa Simba tunawakubali wachezaji wengi tu wa Yanga.
Zile tabia za kuponda vilivyo bora eti kwasababu sio cha kwako na kusifia vibovu eti kwasababu ni cha kwako ni utoto na ushamba wa kizamani.
Feisal berkane atacheza?Berkane alikuwag benchi tu
Nawe sifia mmoja basi wa Yanga?Ewaaaaaaa
Chama ni wa mechi ndogo huyo ndo anatamba, akikutana na wakurugumbe anajinyeaga tu.Feisal ashafanya nn cha kusisimua
Mwandishi hajamtaja Fei kama mchezaji boraFeisal berkane atacheza?
Anataka kuleta ubishi wa kijinga
as vita, nkana, fc platnum, al ahly ni timu ndogo?Chama ni wa mechi ndogo huyo ndo anatamba, akikutana na wakurugumbe anajinyeaga tu.
Oyaa alafu ulimakafu hakuna anayejua kucheza mpira, kazi kulima maviazi tu😂😂Chama ni wa mechi ndogo huyo ndo anatamba, akikutana na wakurugumbe anajinyeaga tu.
Acha zako weye!Labda kama umeandika tu ili usisahau muunganiko wa herufi ulizofundishwa darasa la pili.Chama ni wa mechi ndogo huyo ndo anatamba, akikutana na wakurugumbe anajinyeaga tu.
Ha haha haaaaaaa hahahaha hahaaaaaaaaaaaa.....Umejuaje mwanawane.Oyaa alafu ulimakafu hakuna anayejua kucheza mpira, kazi kulima maviazi tu😂😂
Sema wewe hao Ngada FC Sembe FC Pusha FC hawa hawaelewagi.Cocaine fc ukimwondoa Chama wengine ni tumbaku tuu
Wewe ni Yanga mwenzangu. Ila wewe ni mla mihogo aliyesemwa na Hersi. Roho Mbaya haitakusaidia kitu. Roho mbaya kama mwanamke aliyekosa mtoto. Sisi Yanga wasomi hatuna ushabiki wa kindezi kama wako. Chama ni one of the few best player we have ever seen in Tanzania. Amefanya mambo makubwa matches nyingi hata sisi ashawahi tusumbua. Angalia ile match tulipigwa nne. Angalia matches za Kimataifa lile bao alilofunga kuwaingiza Mikia Makundi msimu ule. Ni bonge la mchezaji. Tuisila alikuwa Morocco karudi. Messi huwezi sema ni mbaya sababu kule France, au Ronaldo Man Un. Uelewe mpira. Upende mpira usiwe shabiki maandaz.Wa mechi ndogo huyo, mbona za Yanga au Azam anabanwa mavi. Hata kule Morroco yalimshinda.