Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hizi sifa angecheza hata ligi za MBINGUNI lakini Cha ajabu hata hapo berkane tu alishindwa. Chama ni mzuri kwa washamba na waporipori wa Simba. Alishawajulia so lazima afanye kuwaridhisha.Mjadala wa suala la ubora wa Chama. Umefungwa. Tujadili mambo mengine. Chama ni mchezaji mwenye kipaji cha kipekee sana. Nakumbuka mwenyekiti wetu Hersi alishasema Chama ni classic player ambaye hata Yanga tulipenda kuwa naye.
Chama anakupa vitu vingi uwanjani. Yaani una enjoy kumtizama. Anapokuwa na mpira Chama hujui atafanya nini kwa wakati gani. Binafsi nimejikuta sina namna isipokuwa kukubali kuwa Chama ni best player kwa sasa nchini Tanzania.
Siipendi team anayochezea lakini hilo haliondoi ubora wake. Ni raha kumtizama, anapenda mpira, ana enjoy mpira. Anaburudisha. Hatujapata mchezaji kama Chama kwa miaka yote ambayo amekuwepo nchini. Huo ni ukweli usiofichika. Tuache wivu wa kike na unafiki ulio kubuhu.
Chama vs nkana kwa mkapaChama ni wa mechi ndogo huyo ndo anatamba, akikutana na wakurugumbe anajinyeaga tu.
Pembe weka pembeni wivu wa kike. Hersi mwenyewe alishawahi sema anamkubali sana chamaKwa hizi sifa angecheza hata ligi za MBINGUNI lakini Cha ajabu hata hapo berkane tu alishindwa. Chama ni mzuri kwa washamba na waporipori wa Simba. Alishawajulia so lazima afanye kuwaridhisha.
Kasi mbona anayo KISINDA? 😁😁😁😁😁 au umesahau? Yupo wapi ana nini?Ubora pia unategemea na ligi anayocheza,ubora wa opponents anaokutana nao uwanjani,kwa maana ya viungo na mabeki,chama huyo alikataliwa na warabu wa Berkane.
Kibongo bongo anajitahd,ukimtupa kwenye ligi zenye mpira wa nguvu na kasi ni mchezaji wa kawaida sana km Iddi Nado tu...
Tulikuwa tunakuja hapo kucheza mpira kweny lile liuwanja halina nyasiHa haha haaaaaaa hahahaha hahaaaaaaaaaaaa.....Umejuaje mwanawane.
Ukitokea wapi hapo?Tulikuwa tunakuja hapo kucheza mpira kweny lile liuwanja halina nyasi
Ungeweza kuelezea hisia zako bila kujifanya mwana YangaMjadala wa suala la ubora wa Chama. Umefungwa. Tujadili mambo mengine. Chama ni mchezaji mwenye kipaji cha kipekee sana. Nakumbuka mwenyekiti wetu Hersi alishasema Chama ni classic player ambaye hata Yanga tulipenda kuwa naye.
Chama anakupa vitu vingi uwanjani. Yaani una enjoy kumtizama. Anapokuwa na mpira Chama hujui atafanya nini kwa wakati gani. Binafsi nimejikuta sina namna isipokuwa kukubali kuwa Chama ni best player kwa sasa nchini Tanzania.
Siipendi team anayochezea lakini hilo haliondoi ubora wake. Ni raha kumtizama, anapenda mpira, ana enjoy mpira. Anaburudisha. Hatujapata mchezaji kama Chama kwa miaka yote ambayo amekuwepo nchini. Huo ni ukweli usiofichika. Tuache wivu wa kike na unafiki ulio kubuhu.
Atakuwa kashatembezewa bahasha ili atumike kama toilet paper huyo mamluki...[emoji57]Ungeweza kuelezea hisia zako bila kujifanya mwana Yanga
Pole sana. Fuatilia nyuzi zangu. Nyie mna ushabiki maandazi mnadhani mchezaji mzuri hawezi sifiwa kwa kuwa yupo team pinzani? Pole sana.Ungeweza kuelezea hisia zako bila kujifanya mwana Yanga
Pole sana... Acha wivu wa kike.Atakuwa kashatembezewa bahasha ili atumike kama toilet paper huyo mamluki...[emoji57]
Mimi pale Mihogoni namkubali sana Yanick Bangala.Kama mimi pale mihogoni namkubali sana Maalim Feisal baasi
Huku si miamala inarahisisha mambo, Morocco hayakuwepo hayo,mchezaji konokono!!Wa mechi ndogo huyo, mbona za Yanga au Azam anabanwa mavi. Hata kule Morroco yalimshinda.
kama vile ninavyokubali namna Manyele anavyoshangilia japokuwa siipendi timu anayoichezea.Mjadala wa suala la ubora wa Chama. Umefungwa. Tujadili mambo mengine. Chama ni mchezaji mwenye kipaji cha kipekee sana. Nakumbuka mwenyekiti wetu Hersi alishasema Chama ni classic player ambaye hata Yanga tulipenda kuwa naye.
Chama anakupa vitu vingi uwanjani. Yaani una enjoy kumtizama. Anapokuwa na mpira Chama hujui atafanya nini kwa wakati gani. Binafsi nimejikuta sina namna isipokuwa kukubali kuwa Chama ni best player kwa sasa nchini Tanzania.
Siipendi team anayochezea lakini hilo haliondoi ubora wake. Ni raha kumtizama, anapenda mpira, ana enjoy mpira. Anaburudisha. Hatujapata mchezaji kama Chama kwa miaka yote ambayo amekuwepo nchini. Huo ni ukweli usiofichika. Tuache wivu wa kike na unafiki ulio kubuhu.
uko sahihi. kule yanga Mimi nawakubali Manyele, fei, na Azizi k. hao nawapa sifa zote.Ni uungwana kumpa sifa anazostahili mchezaji wa timu pinzani.
Hata sisi wa Simba tunawakubali wachezaji wengi tu wa Yanga.
Zile tabia za kuponda vilivyo bora eti kwasababu sio cha kwako na kusifia vibovu eti kwasababu ni cha kwako ni utoto na ushamba wa kizamani.
tukiwa na mashabiki 10000 aina Yako bongo hii mpira na ligi yetu inaweza kupanda zaidi viwango vya kimataifa.Wewe ni Yanga mwenzangu. Ila wewe ni mla mihogo aliyesemwa na Hersi. Roho Mbaya haitakusaidia kitu. Roho mbaya kama mwanamke aliyekosa mtoto. Sisi Yanga wasomi hatuna ushabiki wa kindezi kama wako. Chama ni one of the few best player we have ever seen in Tanzania. Amefanya mambo makubwa matches nyingi hata sisi ashawahi tusumbua. Angalia ile match tulipigwa nne. Angalia matches za Kimataifa lile bao alilofunga kuwaingiza Mikia Makundi msimu ule. Ni bonge la mchezaji. Tuisila alikuwa Morocco karudi. Messi huwezi sema ni mbaya sababu kule France, au Ronaldo Man Un. Uelewe mpira. Upende mpira usiwe shabiki maandaz.