Nimenawa Mikono kwa Suala la Chama. Hersi alikuwa sahihi

Na kuponda kuishie kwenye utani tu.Ukiwa kwenye mazungumzo makini unaacha kusema uongo.Ndiyo uungwana.
 
Wa mechi ndogo huyo, mbona za Yanga au Azam anabanwa mavi. Hata kule Morroco yalimshinda.
Wewe ni Yanga mwenzangu. Ila wewe ni mla mihogo aliyesemwa na Hersi. Roho Mbaya haitakusaidia kitu. Roho mbaya kama mwanamke aliyekosa mtoto. Sisi Yanga wasomi hatuna ushabiki wa kindezi kama wako. Chama ni one of the few best player we have ever seen in Tanzania. Amefanya mambo makubwa matches nyingi hata sisi ashawahi tusumbua. Angalia ile match tulipigwa nne. Angalia matches za Kimataifa lile bao alilofunga kuwaingiza Mikia Makundi msimu ule. Ni bonge la mchezaji. Tuisila alikuwa Morocco karudi. Messi huwezi sema ni mbaya sababu kule France, au Ronaldo Man Un. Uelewe mpira. Upende mpira usiwe shabiki maandaz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ