Nimenawa Mikono kwa Suala la Chama. Hersi alikuwa sahihi

Kuna demu wangu flan kitambo alikuwa anarudia rudia sana kusema “huyu chama ni mchawi” sa sjui kwanini alikuwa anasema vile!??
 
Kwa hizi sifa angecheza hata ligi za MBINGUNI lakini Cha ajabu hata hapo berkane tu alishindwa. Chama ni mzuri kwa washamba na waporipori wa Simba. Alishawajulia so lazima afanye kuwaridhisha.
 
Ulimtazama chama akiwa uwanjani huna haja ya kutazama pornography
 
Chama ni wa mechi ndogo huyo ndo anatamba, akikutana na wakurugumbe anajinyeaga tu.
Chama vs nkana kwa mkapa
Chama vs kaizer chief kwa mkapa
Chama vs uto 4-1 kwa mkapa
Kama umeumia jikaze ndio hali halisi
 
Huna baya mwenetu..! Chama suluhisho la ugumu wa mpira kwa wachezaji miguuni
 
Ubora pia unategemea na ligi anayocheza,ubora wa opponents anaokutana nao uwanjani,kwa maana ya viungo na mabeki,chama huyo alikataliwa na warabu wa Berkane.
Kibongo bongo anajitahd,ukimtupa kwenye ligi zenye mpira wa nguvu na kasi ni mchezaji wa kawaida sana km Iddi Nado tu...
 
Kwa hizi sifa angecheza hata ligi za MBINGUNI lakini Cha ajabu hata hapo berkane tu alishindwa. Chama ni mzuri kwa washamba na waporipori wa Simba. Alishawajulia so lazima afanye kuwaridhisha.
Pembe weka pembeni wivu wa kike. Hersi mwenyewe alishawahi sema anamkubali sana chama
 
Kasi mbona anayo KISINDA? 😁😁😁😁😁 au umesahau? Yupo wapi ana nini?
 
Reactions: K11
Ungeweza kuelezea hisia zako bila kujifanya mwana Yanga
 
kama vile ninavyokubali namna Manyele anavyoshangilia japokuwa siipendi timu anayoichezea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CHAMA ni miongoni mwa wachezaji wa simba ambao wakiwa na mpira mguuni.... Naiihisi hatari langu kwetu(mimi yanga)... Mwingine ni PHIRI.

YANGA TUNGEKUWA NA CHAMA... MBELE PALE MAYELE.. MAYELE ANGEKUWW NA GOLI ISHIRINI SASA... yaani kwa soka la yanga... Chama ni mahali pake.
 
uko sahihi. kule yanga Mimi nawakubali Manyele, fei, na Azizi k. hao nawapa sifa zote.

anayesifia vibovu kisa ni vya kwake na kuponda vizuri kisa sio vyake ana wivu wa kike na akizeeka anakuwa mchawi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tukiwa na mashabiki 10000 aina Yako bongo hii mpira na ligi yetu inaweza kupanda zaidi viwango vya kimataifa.

peace and love.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…