Sina haja ya kufatilia najua upo upande ganiPole sana. Fuatilia nyuzi zangu. Nyie mna ushabiki maandazi mnadhani mchezaji mzuri hawezi sifiwa kwa kuwa yupo team pinzani? Pole sana.
Hawa si ndio wale wanavaa jezi ya mwananchi wana anza kutukana kumbe mamuluki fatilia comments zake kwenye nyuzi zingine utajua ukweliAtakuwa kashatembezewa bahasha ili atumike kama toilet paper huyo mamluki...[emoji57]
Huu mjadala hauwafai hatersWa mechi ndogo huyo, mbona za Yanga au Azam anabanwa mavi. Hata kule Morroco yalimshinda.
Pole sana muzeye.Huu mjadala hauwafai haters
Kama usingeandika maneno hayo ulikuwa na hoja makini sana ktk tread yako, hilo tu ndio doa!!Tuache wivu wa kike