Nimeng'atwa na nyoka ndotoni

Nimeng'atwa na nyoka ndotoni

Watu wengi wanasema ndoto za nyoka kunakua na uwezekano wa watu wabaya kukujia,
Me niliwah ota nataka kumezwa na nyoka then nkakurupuka, lakini kukulupuka kwenyewe ni bado ndotoni sijaamka usingizini
Nkainuna nakimbilia nje lakin bado niko ndotoni ila naondoka kweli
Nkafungua mlango wa chumbani maana hua sifungagi
Nkaja kukwama mlango wa kutokea nje wa sebuleni hua tunafunga funguo tunahifadh maala
Ndo wife ananikimbilia na kunishika wakat napambana kuvuta mlango
Ndo nikashtuka sasa kutoka usingizini najikuta pale
Mkuu una maana gani kwenye hili neno 'kukulupuka'
 
Nfoto hazina maana yoyote.
Jana Jokate atapata matatizo.
Na tarehe nikapewa,tarehe 10,watu watakapokuwa wanatoka kazini.
Sasa sijui kama Ile tarehe inahusiana na matatizo ya Jokate.
Na mimi sina habari kuhusu kosa lolote la Jokate mpaka apate matatizo.
Lakini nimeota natazama gazeti limeandikwa,nadhani Jokate anapata matatizo.
Kwa hiyo,mi nadhani ndoto hazina maana.
 
Binafsi nliota napambana na nyoka mkubwa,katika mapambano yale akaniweka mtu kati😂😂,akaning'ata mguu wangu wa kushoto halafu mguu wangu wa kulia akawa kauzungushia sehemu ya mkia wake. Wakati nahangaika kumtoa ndo kuamka kutoka usingizini na sikuwa nmemtoa kwenye miguu yangu.
Imenipa mawazo sana.
Jambo hilo siyo la kuchekea umeshamalizwa kama hutochukua hatua
 
Poleni na majukumu watu wa humu, niende moja kwa moja kwenye mada,

Tulikuwa watu zaidi ya watatu, tulikuwa kwenye eneo Kama mbuga hivi ambalo ni nyasi kwa wingi, Sasa ilikuwa ni Kama unachagua pa kukanyaga maana Kila baada ya hatua tatu ni nyoka wakubwa kwa wadogo,

Ikatokea nyoka mmoja mkubwa akanirukia na kuning'ata kisogoni, basi nukawa napiga kelele lakini mwenzangu akachuma majani ya mchunga chapu na kuanza kunipaka nilipong'atwa huku akiniambia ni dawa na nitapona tu nisijali,

Sasa wakati nasubiria kupona ndo nikashtuka kutoka usingizini,

Je hii ndoto Ina maana gani wakuu.
Haina maana yoyote, ndoto ni mawenge kama yalivyo mawenge mengine yoyote hivyo temana nayo endelea kupiga kazi

Binafsi yangu, katika ujinga ambao sijawahi kuuendekeza ni ndoto yaani hata niote nini, sijawahi kuzingatia

Ikiwa ya kutisha ntashtuka ntafuta jasho ntapiga moyo konde na kuendelea kuchapa usingizi

Jitahidi kusali kabla ya kulala ndoto zitapungua
 
Binafsi nliota napambana na nyoka mkubwa,katika mapambano yale akaniweka mtu kati😂😂,akaning'ata mguu wangu wa kushoto halafu mguu wangu wa kulia akawa kauzungushia sehemu ya mkia wake. Wakati nahangaika kumtoa ndo kuamka kutoka usingizini na sikuwa nmemtoa kwenye miguu yangu.
Imenipa mawazo sana.
Ndoto ni ujinga ujinga tu we ukiota shtuka piga moyo konde chapa usingizi, kama usingizi haupo tafuta movie cheki weee usingizi ukija piga usingizi, kesho endelea na mishe ndoto ukizipa nafasi zitakuendesha sana
 
Poleni na majukumu watu wa humu, niende moja kwa moja kwenye mada,

Tulikuwa watu zaidi ya watatu, tulikuwa kwenye eneo Kama mbuga hivi ambalo ni nyasi kwa wingi, Sasa ilikuwa ni Kama unachagua pa kukanyaga maana Kila baada ya hatua tatu ni nyoka wakubwa kwa wadogo,

Ikatokea nyoka mmoja mkubwa akanirukia na kuning'ata kisogoni, basi nukawa napiga kelele lakini mwenzangu akachuma majani ya mchunga chapu na kuanza kunipaka nilipong'atwa huku akiniambia ni dawa na nitapona tu nisijali,

Sasa wakati nasubiria kupona ndo nikashtuka kutoka usingizini,

Je hii ndoto Ina maana gani wakuu.
Fanya Maombi ya Nguvu
 
Kwanza Kabisa Mkuu Pole Na hongera!

Pole kwa Kuwa Una maadui wengi sana Ambayo wamekuzunguka kila Mahali na Wanakuvizia Ufanye Kosa Dogo ili wakupoteze!..

Hongera kwa Sababu una Backup Ya Marafiki na Ndugu ambao wanakulinda na hao maadui bila wewe Kujua!..

Tafsiri Ya ndoto yako ni kwamba:-

Mbuga Ndotoni humaanisha Mapito yako Ya kimaisha Ukiona Mbuga ni kijani sana Inamaanisha mapito yako ni ya Neema na Amani..
Ukiona Majani yamenyauka na Kipindi ni cha Kiangazi humaanisha Kuna Ups and Down nyingi sana kwenye Mapito yako...

Kisogo humaanisha ni wakati wa Nyuma au Ni kutoka nyuma..So kama Nyuka Amekung'ata Kisogo inamaanisha Uadui wa Huyo ni wa Muda mrefu na sio mpya ni uadui wa Huko Nyuma..

Nyoka wakubwa humaanisha Uadui mkubwa na wadogo humaanisha Uadui Mdogo wa Kusengenya tu na Kukushushia hadhi yako..

Kung'atwa humaanisha kuugua kwa Kimazingara au kupata Uadui huo ambao kwenye Dunia ya Kawaida ni kama Ugonjwa au Mabaya ambayo huyaelewe..Pia inamaanisha Utapoteza Biashara zako au Vitu vyako au baadhi ya mambo au Kupata Hasara kutoka kwa Uadui..

Na nyoka wadogo huweza kumaanisha kwamba unawapenda sana watu na unaishi nao kwa Upe do na Kuwachukulia kama marafiki wakati watu hao ndo ukudharirisha kwa siri na kukusengenya kwa watu na wanapanga njama za kukuangamiza kwa siri

Baada ya kuchambua baadhi ya vitu Sasa ndoto yako inamaanisha nini?

Unapita katika changamoto za Kimaisha na kwa bahati mbaya Unawatu unaowachukulia kuwa ni marafiki Wanajiunga Kwa siri Kukusengenya wewe na kukutengenezea Uadui licha ya wewe kuwachukulia Marafiki wazuri na kuwapenda...

Na hiyo ndo ilitoa chances ya Uadui mkubwa kukupata na ukapata Hasara kubwa kwenye Maisha hako..

Good enough ni kwamba Bado una Ndugu na marafiki wanaokupenda kwahyo watapambana/Wanapambana na wewe ili urudi katika hali yako..
Kwahyo Kutokana na Hao marafiki wanaokupenda Unaweza usione madhara yanayokupata/Au ukaona madhara madogo..

Ila Wao ndo wamepambana sana kuhakikisha Wewe uwe salama na uzuri watakuambia walivyofanya /Watakavyofanya
 
Huyo ni koboko alitaka akudungue utosini ukamove kidogo jino likatua kisogoni, hiyo ndoto mbaya.

Epuka kutembelea maporini kwa muda

Kila la kheri marehem mtarajiwa
 
Back
Top Bottom