Sijamuoa bado, na wala sikai nae. Ili kuepuka usumbufu wa kutafuta daftari asubuhi nimeamua kuyachukua yote nikayabwaga siti ya nyuma. Ye mwenyewe kajistukia tuulitaka aimbe 'haleluya'?
Unamdharau ndo maana ulijiita bachala mbele yake.
Au kuna kitu huyo rafiki yako uliyempa lift unataka kumwambia.
Mimi naamini ulikuwa sahihi na yeye gf/mchumba anapaswa kuelewa hivyo. Kama anaona si vema wewe kujiita bachelor kisa una gf/mchumba, then afanye utaratibu ili muoane. Jaribu kumwelewesha ili aelewe.
Lizzy, kuna tofauti kubwa sana kuishi na mke ndani na kuishi bila yeye. Angalau mke angeweza kuvipanga vizuri, au hata ashauri nivitafutie begi kubwa. Lakini pia labda swala ni kwamba mimi ni Bachela tu, so sikua na kosa kusema vileUlikua unatangaza biashara?
Maana kauli yako naweza nikaitafsiri hivi "sina mtu ndio maana, unataka kunisaidia??!"
Ulishindwa nini kusema shughuli nyingi? Maana hata nikifikiria sioni mahusiano ya ubachela na vitabu vingi kwenye gari. Unless unategemea siku ukiwa na mke awe anakupelekesha kama mtoto kwamba uvitoe au awe anatoa yeye.
Hakuna haja ya kusugar coat maneno: wewe ni bachelor, period.
Story nzima ilianza hivi,Mkuu, hajakununia kwa Kujiita Bachelor, kakununia kwa Kumuonesha mbele ya huyo Bint Mwingine kuwa hawezi ku take care thats why Gari lako liko shaghalabaghalah, Ki msingi umemuabisha sana na Mbaya zaid,mbele ya Mwanamke mwenzake ambaye wewe na sio yeye unafahamiana nae, Jiulize ulishawahi kununiwa nae Before, if yes, what was the reason, if No Mtoe out one day, Mtafute huyo uliyrmpa lift, kaeni mahali, katika Mazungumzo yenu jikite zaid kumsifia Demu wako bila yeye kujua kuwa una Neutrilize mambo, usiku nenda nae kalale nae home (Kama sio mtoto wa Mama/ Geti) Mpe Mikasi ya Haja, i assure you kesho mambo swafi....
Five star rated this one. Kuna na GF hakukufanyi mwanaume usiwe bachelor, ingekuwa mtoa maada kaoa halafu ajiite bachelor hicho kizaa zaa kingekuwa halali kabisa!
Omba radhi yaishe mkuu.
Na siku nyingine shirikisha ubongo kabla hujasema chochote.
OTIS
Unastahili kabisa kununiwa
Asanteni kwa busara zenu. . . embu muelewesheni huyo kijana akili imchemke.Halafu msichana unayemtangazia kuwa bado uko bachela mnaishi naye mtaa mmoja?? Halafu anakuja kuhoji usafi wa gari lako?? Huyo msichana hana adabu na ana kimbele mbele!!
Umemdhalilisha sana GF wako na itakuwa bahati sana kama atakusamehe...
Kama vipi omba msaada kabla hujafutwa kwenye kitabu chake cha kumbu kumbu!!