Nimenuniwa na mpenzi wangu

Late 20's
Sikiliza nikuambie mamii kumnyima utamu mwenzio sio solution ya kusema akikuoa basi atakuwa mume bora la hasha! Mwanaume anayekupenda hata mkifanya sex mara ngapi hawezi kukuchoka. Hicho unachofanya utamfanya mwenzio atafute sehemu nyingine apooze nyege zake ndio unakuwa mwanzo wakuporomoka kwa mahusiano kama unajijua wewe sio bikra ni vema uumpe mwenzako
 
🀣🀣🀣 yaweza kuta anajua unamuomba pesa ndy maana na yy akahamua kukausha
 
πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£ Bado sijaamua kumuacha Janani still occupied
 
Ni ngumu sana Mwanaume kumnunia mpenzi wake bila mwanamke huyo kua kiburi na jeuri. Ujeuri dharau au kiburi havinaga maelezo maana ni ngumu kupindua ikawa kinyume chake.

Tofauti na hapo hana Ujasiri wa kukumiliki
Yeye amesema jamaa kaduna kwasababu kanyimwa utamu na mtoa mada mpaka waoane
 
Naamin Ivo pia
Ni ngumu sana Mwanaume kumnunia mpenzi wake bila mwanamke huyo kua kiburi na jeuri. Ujeuri dharau au kiburi havinaga maelezo maana ni ngumu kupindua ikawa kinyume chake.

Tofauti na hapo hana Ujasiri wa kukumiliki
Hana ujasiri wa kunimiliki umemaanisha hajiamini kwangu au
 
Naogopa
 
πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£ Bado sijaamua kumuacha Janani still occupied
Still occupied? Kijana min -me yuko ready to bring a little extra sunshine vile haujawahi ku experience ebu mfungulie PM ili ajue hiyo neno "occupied" atume carrier pigeon or just keep sending you cheesy pickup lines lakini huko PM binti
 
Peace of mind
Security
Safety

If something is wrong you with ur soulmate calm down and pray for serenity. Everything will be OK.
Kabisa mkuu, ila huyo mwamba inabidi tumnyang'anye jimbo ananunaje hovyo hovyo tuπŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…