Nimenuniwa na mpenzi wangu

Nimenuniwa na mpenzi wangu

Kabisa mkuu, ila huyo mwamba inabidi tumnyang'anye jimbo ananunaje hovyo hovyo tu😆

Kweli Ila tumuombee , atakuwa sawa yawezekana kuna mambo anapitia yanamuumiza mind yake.

Kununa -hii hali utokea MTU asiporidhishwa na situation fulani katika mambo yake dhidi ya watu /MTU

Kununa sio hatari ila kukasirika ndo hatari

Kununa IPO attached with lack of peace of mind

Kuna muda unabidi kupanda miti ilk watu wengine wapate kivuli.- means don't expect any returning from human being , because in nature human being is unpredictable creature
 
Sure bro
 
Najua sio lazima Kuduu, lakini Kuna namna mnaweza kufanya bila kuingiliana lakini mwenzio akarudi nyumbani akiwa mwepesi kabisa......tia nyama kidogo hapa babu🤣
Hahahaha............. najua Mjukuu mwenyewe alishaelewa lakini 🤗
 
Hello JF,

Mwenzenu nimenuniwa Na mwanaume Wangu siku ya 3 Leo sijui kosa langu ni Nini,..last time kuongea Nae ilikua jumapili na tuliongea vizuri tu Kesho yake kimya nilimpigia Na SMS nikamtumia nikamuliza tatizo Nini hakunijibu....mpk dk hii kimya....Na social media anaingia vizuri tu...Na Mimi nimeamua nikae kimya.....Ila naumia sana....
Kwani ndio huyo tu!! Acha uzembe.
 
Hapa kuna uwezekano kukawa na mambo mengi mfano kazini kwake hakuko sawa so ana stress na kila mtu au unampiga sana mizinga kuliko uwezo wake, humfinyii kwa ndani unapompa mbususu, au huioshi vizuri mbususu hivyo anakereka na harufu kali au una ghubu kila mara unamuuliza uko wapi na unafanya nini.
 
Back
Top Bottom