Nimenuniwa na mpenzi wangu

Nimenuniwa na mpenzi wangu

Hello JF,

Mwenzenu nimenuniwa Na mwanaume Wangu siku ya 3 Leo sijui kosa langu ni Nini. Last time kuongea Nae ilikua jumapili na tuliongea vizuri tu Kesho yake kimya nilimpigia Na SMS nikamtumia nikamuliza tatizo nini hakunijibu. Mpaka dk hii kimya. Na social media anaingia vizuri tu. Na Mimi nimeamua nikae kimya. Ila naumia sana.
Noted
 
🙄Kumbe na mimi ni smart boy🤣🤣🤣

😀😀😀

Hata diamond kuna watu walimwambia unajua kuimba hivyo unbidi kuimba bongo fleva and not hip hop

Means watu wote huwa tunamulikwa na watu then na sisi ndo tunaanzia hapo kufanya zaidi.

So, I spark you that ur wisest person and smart
 
Yeah bro asante sana😊
 
Uko sahihi

Detachment and attachment use this formula and you will never sense more pains.

Unagusa na kuachia unagusa tena unaachia the same wanafanya footballers in football game

Unajua madhara ya kukaa na mpira muda mrefu

Utapata injury Kirahisi sana .

When ur soulmate ameamua kukaa kimya fanya detachment and give him time
 
🤣🤣🤣 umehisi nin mpaka kunifananisha nao
Yani sijui tu ,nahisi tu bwana yesu asifiwe kwa sana, na usiniguse nimeokoka hazikauki🤣🤣🤣🤣
20240903_165305.jpg
 
Back
Top Bottom