Nimenuniwa na mpenzi wangu

Nimenuniwa na mpenzi wangu

Hello JF,

Mwenzenu nimenuniwa Na mwanaume Wangu siku ya 3 Leo sijui kosa langu ni Nini. Last time kuongea Nae ilikua jumapili na tuliongea vizuri tu Kesho yake kimya nilimpigia Na SMS nikamtumia nikamuliza tatizo nini hakunijibu. Mpaka dk hii kimya. Na social media anaingia vizuri tu. Na Mimi nimeamua nikae kimya. Ila naumia sana.
Umekagua simu ama Laptop yako, haijatuma wala kupokea 'jumbe udhi' tangia njemba isuse?

Ukinieleza ukweli takushauri cha kuanza kumchunguza yeye na hatua za kuchukua.

Kama haujamkosea lolote, 'Ununio' saazingine huwa ni mbinu ya kuficha dhamira ovu, nitakwambia.
 
Detachment and attachment use this formula and you will never sense more pains.

Unagusa na kuachia unagusa tena unaachia the same wanafanya footballers in football game

Unajua madhara ya kukaa na mpira muda mrefu

Utapata injury Kirahisi sana .

When ur soulmate ameamua kukaa kimya fanya detachment and give him time
Nakushukuru Sana...naomba nielezee how to use detachment
 
Detachment and attachment use this formula and you will never sense more pains.

Unagusa na kuachia unagusa tena unaachia the same wanafanya footballers in football game

Unajua madhara ya kukaa na mpira muda mrefu

Utapata injury Kirahisi sana .

When ur soulmate ameamua kukaa kimya fanya detachment and give him time
Ahsante....naomba nielezeee how to use detachment
 
Detachment and attachment use this formula and you will never sense more pains.

Unagusa na kuachia unagusa tena unaachia the same wanafanya footballers in football game

Unajua madhara ya kukaa na mpira muda mrefu

Utapata injury Kirahisi sana .

When ur soulmate ameamua kukaa kimya fanya detachment and give him time
How to use detachment Dr
 
Back
Top Bottom