Nimenuniwa na mpenzi wangu

Nimenuniwa na mpenzi wangu

Pole sana Mjukuu, Kwa hali uliyonayo Kuna Kila sababu uje huku Kijijini nimwambie Bibi yako akufanyie Kanselingi kidogo 😜

Ila Kwa uzoefu wangu, mara nyingi sisi Wanaume iwapo tunanyimwa tamu huwa Moja haikai Wala mbili haikai.

Hebu fanya mpango uonane na BF yako mahali pa Falagha ili muyajenge.
Huu ushauri ndo nlitaka nimpe ila ishamaliza...akatoe mzigo kwa jamaa huko...kama hatak basi ndo Ivo ajue kabisa jamaa kashapata kisima kingine anajichotea maji tu
 
Mapenzi na Ngono ni vitu tofauti watu wana complicate sana.lakini kwenye mapenzi,ngono nikiburudisho tosha.
Unaweza ukasubiri muoane ndio mburudishane na mkaja kuachana!?.

Ila watu wanaweza kufanya ngono pasipo kuwa na mapenzi.swala la ngono nimakubariano kwa nyie kwamba mnahisi kushiriki ngono,sio big issue kwamba liwe na konakona wala sio swala zito ni sisi tu kuiwekea uzito.

Mfano.back in the days zambia.tulienda kwa rafiki wa mshkaji wangu (KE) alinitambulisha kuwa huyu ni friend wangu ni mbongo.manzi ikakolea ikasema naskia wabongo wako na taste yake.akaomba nimpelekee rungu nami skulembaaa😂,basi ikawa kama Ameosha nyota,nawengine wengi.mfano usitumike kwa nia potofu.hii ni kwa hisia kuwa ukitafakali ngono sio swala la uzito.ila usizini na ndugu au familia chunga (mke wa mtu/mume wa mtu ni sumu)
Wazibe hilo kojolea afu uishi nae kwa kuona kwamba ngono SI issue....kwenye ndoa ngono Ina zaid ya asilimia 70..
 
Hello JF,

Mwenzenu nimenuniwa Na mwanaume Wangu siku ya 3 Leo sijui kosa langu ni Nini. Last time kuongea Nae ilikua jumapili na tuliongea vizuri tu Kesho yake kimya nilimpigia Na SMS nikamtumia nikamuliza tatizo nini hakunijibu. Mpaka dk hii kimya. Na social media anaingia vizuri tu. Na Mimi nimeamua nikae kimya. Ila naumia sana.
Ashafanya maamuzi huyo,mwache aende
 
Back
Top Bottom