Nimenuniwa na mpenzi wangu

Nimenuniwa na mpenzi wangu

Huu ushauri ndo nlitaka nimpe ila ishamaliza...akatoe mzigo kwa jamaa huko...kama hatak basi ndo Ivo ajue kabisa jamaa kashapata kisima kingine anajichotea maji tu
Tatizo mtoa mada ameendelea kubaki na msimamo wa kutotoa gemu hadi Ndoa, hapo ndiyo changamoto yao ilipo 🙌
 
Back
Top Bottom