Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Wazee wa Kisasa hawa, wanajua hadi simu janja za Kufyatila😜Aaaaah tumekwisha kabisa kama hawa ndio wazee wa siku hizi!
Btw kuwa na imani na Wazee 🤗
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazee wa Kisasa hawa, wanajua hadi simu janja za Kufyatila😜Aaaaah tumekwisha kabisa kama hawa ndio wazee wa siku hizi!
That's my girl mwaaahUko kama Mimi dear....bado navutia kasi
Babu hatimaye mpenzi Wangu kanipigia simu kumbe aliibiwa simuSiku hizi changamoto ni nyingi Mjukuu, unaweza kusema usubiri hadi Ndoa ukaja kuuziwa Mbuzi kwenye gunia
Bora kupima kina cha Maji kabla hujayaingia
Mpe mwenzio usimbanieAmakweli Dunia imebadilika....
Hongera sana MjukuuBabu hatimaye mpenzi Wangu kanipigia simu kumbe aliibiwa simu
Hakupendi huyoHello JF,
Mwenzenu nimenuniwa Na mwanaume Wangu siku ya 3 Leo sijui kosa langu ni Nini. Last time kuongea Nae ilikua jumapili na tuliongea vizuri tu Kesho yake kimya nilimpigia Na SMS nikamtumia nikamuliza tatizo nini hakunijibu. Mpaka dk hii kimya. Na social media anaingia vizuri tu. Na Mimi nimeamua nikae kimya. Ila naumia sana.
Wacha nibane tuMpe mwenzio usimbanie
Ahsante babuHongera sana Mjukuu
Mimi na Bibi yenu tunawaombea Kila la heri 🙏
🙏🙏🙏Ahsante babu
Humpendi kwahiyo endelea kubana.Wacha nibane tu