Nimenunua home theater LHD657 Model, lakini cha ajabu ina Sauti ya kawaida sana

Weka sauti za majini mkuu. Utanishukuru
 
mkuu utoke mziki mzuri uliochujwa base yenye mkito. sasa cha ajabu base ipo chini hata ukiongeza hamna chochoke kinachobadilika. mfano volium ipo 100 ni ya kawaida sana ukipunguza mpaka 40 ndio imeisha hiyo
Umepigwa mzee 🤣🤣🤣 aliekwambia LG wana vyombo vya mziki ni nani? Lg ni kwa ajili ya Friji, Ac na Washing Machine tu 🤣🤣🤣
 
Haya mautopolo yana mziki gani sasa. Nina uhakika ukiweka hilo bushido na huyu mnyama hapa inakalishwa mapema mno.
 
Kuna kopi na og
 
Lg mkuu ungenunua Sony nikipiga Sony yangu dav dz 650 watts 1000 jamanii sijutii huku nasikiliza mayday ya fally [emoji1787]
Nikipiga hadi majirani wanatetemekaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona sio mbaya, umetumia connector gani? Umetumia file gani kutest?

Tafuta movie yenye 5.1 sound chanell, Sambaza hizo Speaker accordingly, ya kulia weka kona ya kulia na kushoto ikae kushoto, Subwoofer kati kisha angalia.
 
Mm nina sony homthieta toka 2016 up to date wat 1000 dvz 600 uo mzk wake n shida inategemeana na ww wakat unaenda kununua ulzngatia nn ile deki ndio inayotoa watt kama n 1000 nk lakn spker lile bufa lake ndio nguvu ya iyo dvzb 600 kwaio kagua sytm yako kuna homthieta zinazidiwa na sabufa kupga lakn watu wamenunua 700k
 
LG ni nzuri kwa AC na Mafriji bana na angalau kwenye TV za kisasa. Huku kwenye miziki mnyama ni Sony, JBL kwa sasa. Ukigusa anga za mchina mkali ni Kodtec
Usipende kukariri. Lg kwenye music wapo. Wana soundbars kali tu. Sema ndio hivyo bongo zipo chache. Na hiyo home theater anayosema ni ya 2023 hapana. Hapo labda kanunua mchina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…