Nimenunua home theater LHD657 Model, lakini cha ajabu ina Sauti ya kawaida sana

Pole sana ,hiyo hela ungepata mziki mzuri sana wa mtumba
 
nakubali mkuu
 
Haya mautopolo yana mziki gani sasa. Nina uhakika ukiweka hilo bushido na huyu mnyama hapa inakalishwa mapema mno.
View attachment 2648158
Mzee hiyo ni hi-fi music system, ina pressure horn sio ya kitoto, bei zainaanzia mill2 kwenda juu, gebu toa uchafu huo ulioweka hapo bora hata ungeniweke hii subwofer ya kodtek ambayo binafsi nmeielewa bei yake yafika laki 5
 
Attachments

  • images (2).jpeg
    17.6 KB · Views: 21
Mzee hiyo ni hi-fi music system, ina pressure horn sio ya kitoto, bei zainaanzia mill2 kwenda juu, gebu toa uchafu huo ulioweka hapo bora hata ungeniweke hii subwofer ya kodtek ambayo binafsi nmeielewa bei yake yafika laki 5
Hio kitu una hakika ina mziki? 🤣 Au ina kelele kubwa ndio unaziita pressure horn 🤣
 
Mbona sio mbaya, umetumia connector gani? Umetumia file gani kutest?

Tafuta movie yenye 5.1 sound chanell, Sambaza hizo Speaker accordingly, ya kulia weka kona ya kulia na kushoto ikae kushoto, Subwoofer kati kisha angalia.
mkuu nimeshairudisha labda unielekeze machaguo sahihi nichague ipi?
 
[emoji1][emoji1] dah Alitop
 
Waambie hao
 
LG ya 330W ni sawa na 60W rms kwenye woofer. Upuuzi mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…