kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,722
- 1,965
Nimepata pesa fulani hivi huku ikitosha kununua startimes vipi nitaangalia gem ligi zipi na zipi maana lengo nione man U Asenal, Liverpool, etc.. Nipo njiani naenda kufunga sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo. Utaona ligi ya Wingereza.Nimepata pesa fulani hivi huku ikitosha kununua startimes vipi nitaangalia gem ligi zipi na zipi maana lengo nione man U Asenal, Liverpool, etc.. Nipo njiani naenda kufunga sasa
Live?Ndiyo. Utaona ligi ya Wingereza.
Ila EPL utaisikia kwenye redio.
[emoji1787] [emoji1787]Ndiyo. Utaona ligi ya Wingereza.
Ila EPL utaisikia kwenye redio.
Hicho king'amuzi Cha mabekitatu.Nimepata pesa fulani hivi huku ikitosha kununua startimes vipi nitaangalia gem ligi zipi na zipi maana lengo nione man U Asenal, Liverpool, etc.. Nipo njiani naenda kufunga sasa
Izo timu apo juu nilizotaja nitaona?huko utapata ligi za wingereza ujremani
SawaHicho king'amuzi Cha mabekitatu.
Alafu kauliza live?😭😭[emoji1787] [emoji1787]
Niliona sehem kuna Muda haidisplay live nadhani inakua marudioAlafu kauliza live?[emoji24][emoji24]
Upo wapi?Ungenicheki nikakugawia bure kwangu kinaozea ndani,,
Dah aisee mbona kwa jamaa mmoja niliona man u lakini sio live? Nae ni the same decodaJibu; Hautaweza kuona EPL
Ila utaona LaLiga, Ligi ya Ujerumani, pamoja na Ligi ya Kikapu NBA
Pia kama ni mpenzi wa Tamthiliya utaziona, zile za KiCorea za Akina MyDodo [emoji28]
Startimes _ Furahia Ulimwengu wa Kidijitali wa Tanzania
Labda kama ni recorded kwenye ManU TV.Dah aisee mbona kwa jamaa mmoja niliona man u lakini sio live? Nae ni the same decoda
Ligi ya Wingereza hutoiona labda ligì ya HUHINGEREDHANimepata pesa fulani hivi huku ikitosha kununua startimes vipi nitaangalia gem ligi zipi na zipi maana lengo nione man U Asenal, Liverpool, etc.. Nipo njiani naenda kufunga sasa