Nimenunua kisimbuzi ya startimes vip ligi ya wingereza nitaona?

Nimenunua kisimbuzi ya startimes vip ligi ya wingereza nitaona?

kesho kutwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2016
Posts
1,722
Reaction score
1,965
Nimepata pesa fulani hivi huku ikitosha kununua startimes vipi nitaangalia gem ligi zipi na zipi maana lengo nione man U Asenal, Liverpool, etc.. Nipo njiani naenda kufunga sasa
 
Jibu; Hautaweza kuona EPL

Ila utaona LaLiga, Ligi ya Ujerumani, pamoja na Ligi ya Kikapu NBA

Pia kama ni mpenzi wa Tamthiliya utaziona, zile za KiCorea za Akina MyDodo 😅

Startimes _ Furahia Ulimwengu wa Kidijitali wa Tanzania
 
Jibu; Hautaweza kuona EPL

Ila utaona LaLiga, Ligi ya Ujerumani, pamoja na Ligi ya Kikapu NBA

Pia kama ni mpenzi wa Tamthiliya utaziona, zile za KiCorea za Akina MyDodo [emoji28]

Startimes _ Furahia Ulimwengu wa Kidijitali wa Tanzania
Dah aisee mbona kwa jamaa mmoja niliona man u lakini sio live? Nae ni the same decoda
 
Ligi ya ndondo cup ikianza Clouds wanarukaga nazo mkuu.
 
Dah aisee mbona kwa jamaa mmoja niliona man u lakini sio live? Nae ni the same decoda
Labda kama ni recorded kwenye ManU TV.

Binafsi ninavyo Vyote kuanzia Dstv, Startimes na AzamTV, imekuwa ni mateso kwa kweli maana ingefaa unakuwa na Kisimbuzi kimoja kinakuwa kinachannel zote unafanya kulipia tu
 
Nimepata pesa fulani hivi huku ikitosha kununua startimes vipi nitaangalia gem ligi zipi na zipi maana lengo nione man U Asenal, Liverpool, etc.. Nipo njiani naenda kufunga sasa
Ligi ya Wingereza hutoiona labda ligì ya HUHINGEREDHA
 
Ni Moja ya king'amuzi Bora sana Kwenye contents Kwa familia sijui Sasa kama wamebadirika ... Kuhusu ligi ya ungeleza nadhani wanarusha mechi Moja siku ya jumamosi kupitia NTV ya Nigeria. Nimekitumia kitambo sana
 
Back
Top Bottom