Nimenunua shati na suruali kutoka mtandaoni ila najuta

Nimenunua shati na suruali kutoka mtandaoni ila najuta

Penguinelli Cactussini

Senior Member
Joined
May 23, 2022
Posts
106
Reaction score
383
Habari wadau.
Juzi niliona shati kali na suruali (jeans) poa sana kwenye akaunti moja hivi ya mfanyabiashara wa Instagram huko. Nika contact naye na nikalipa kabisa kupitia lipa namba yake.

Sadly, leo nimevipokea maana alinitumia kwenye basi na havinitoshi kabisa. Shati ni dogo mno hasa mikono na suruali inanibana sana.

Nikajaribu kumtafuta yule dada aliyeniuzia na kumweleza kuwa hazinitoshi. Nikashangaa majibu yake akani text "itabidi upungue uzito, fanya diet".

Hivi hii ni customer care kweli?
 
Tuna omba picha
 
Ukweli wengi wao hawana huduma nzuri ya kukufanya urudi tena , Kuna mmoja nilifika kabisa dukani kwake kwa nguo niliyoipenda ila nikakuta nyingine nzuri zaidi, nikalipia Ile niliyoipenda zaidi na ile ya mwanzo nikamwachia elfu 50 ili nikifika siku inayofwatia nimtumie pesa iliyobakia, nikampigia na kumjulisha naomba nibadili hiyo nguo unipe kijivu hii na sio Ile niliyochagua mwanzo akanijibu kirahisi sana huwezi kubadili ukitaka nunua nyingine,
Note: hiyo nguo yenyewe ya kubadili sikuchukua niliiacha hapo hapo dukani nimebaki namtafakari mpka leo kuwa nichukue nguo mbili laki nne kasoro, nataka kuibadili unaniambia ninunue nyingine kwamba nimpe laki na 80 nyingine huyu yupo serious na wateja au laa
 
Back
Top Bottom