Nimenunua vocha ya 50,000 kwa bahati mbaya

Kijana wa Kizimkazi 2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2026
Posts
4,842
Reaction score
10,164
DFPEB1IXRZ Imethibitishwa. Tsh50000.00 imetumwa kwa J4U M-PESA tarehe 25/6/26 saa 4:38 PM. Salio lako la M-Pesa ni Tsh27,824.24.

Nilikuwa naunga bundle la wiki 2 la 5000 ila cha ajabu nimezidisha 0 moja. Wakuu imeniuma sana.
 
Attachments

IMG-20260621-WA0377.jpg
 
DFPEB1IXRZ Imethibitishwa. Tsh50000.00 imetumwa kwa J4U M-PESA tarehe 25/6/26 saa 4:38 PM. Salio lako la M-Pesa ni Tsh27,824.24.

Nilikuwa naunga bundle la wiki 2 la 5000 ila cha ajabu nimezidisha 0 moja. Wakuu imeniuma sana.
Bora umenunua muda wa matumizi kuliko unge bet ukaliwa yote

Hiyo bado ni Mali Yako.
Namna ya kwanza , zima data uza muda wa matumizi
 
Back
Top Bottom