Nimenunua vocha ya 50,000 kwa bahati mbaya

Nimenunua vocha ya 50,000 kwa bahati mbaya

Nikiwa na pesa nyingi sana kwenye simu, huwa nakuwa makini sana kwenye kununua salio, kuepuka hayo uwe unajiunga juu kwa juu, unachagua aina la bando unalotaka unaweka password wanakata juu kwa juu.
 
Kwa hyo hapo umepata bando la mwezi

Ova
 
Bora wewe...nilituma airtime 120k badala ya mpesa kwa ex mwenye mtoto wangu.
 
Back
Top Bottom