Nimenusurika kufa jana

Bora dawa ya mbu ila sio mtu achome pilipili ndani aisee, show yake ni mateso ya mwisho. Utapaliwa mixer kukohoa hadi koromeo litoke mara machozi na kamas haya hapa. Watesi wakikuamulia na hakuna atakayejua
Hii nimeiona kwa waturuki,wale jamaa wanapenda pili pili,ukiwa jikoni wanapika chakula mixer pili pili unakohoa na jikoni unakimbia ila wenyewe wapo poa tu
 
Hayo maviranga siyo ya kufuata, utapotea!

Inakuwaga yakikaribia kufa na kuuona moto 'live' huwa yanatubu kwa kumlilia Mungu kabisa na kwa rehema zake yanasamehewa.

Wengine mnabaki na upotofu wenu mkiamini stori kwamba jamaa lilikuwa na msimamo thabiti wa kipagani, kumbe wapi!

Dunia hii siyo ya kuamini kila neno limtokalo mwanadamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…