Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
- Thread starter
- #41
Wewe ushawahi kupuliziwa ile dawa.mkuu au unazani kufa ni simple hvo etKifo ni life cycle , ukizaliwa lazima ufe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ushawahi kupuliziwa ile dawa.mkuu au unazani kufa ni simple hvo etKifo ni life cycle , ukizaliwa lazima ufe.
Mkuu wee acha huyu maza jau sanaMishangazi itakuua we dogo 😂😂😂
Wee mkuu hiyo rungu ni hatareee..Bora alipuliza hit, rungu ungekufa kabsa
Huyo ni maraika mtoa roho mkuu😂😂Aisee!! Soul removaler.
😄😄😄😄🙌🙌 Hawa watu wakija gongo la mboto tunawachapaIla JF andika maandishi 1000 bila kukosea ila andishi la 1001 ukiosea kwisha habari yako😄
Mkuu nakaaga mimi peke angu ila nikasema akuje ili tukiwasheHilo gheto mnaishi watu wangapi?
Mkuu alitaka kuniua yule mbwaUkiwa una puliza tu we mwenyewe unatamani umalize haraka ukapumue njee
Dactar hii kitaalamu ipoje nilikua nahisi kiu yanii sijui kiu kile aiseeeKaaazii kweli kweli
...........
Pole
Nimependa hilo jibu mkuu 😄😄😄😄May be there is an Aluminum casement Glass windows.
Uwongooomimi naitumiaga kama spray au air freshener
Wewe hayajakukuta bado kumbeSiku zako hazijafika utakufa tu!
Ahahahah kwanini isiwe mtoaji na sio.mchukuajiSoul removaler- just write " Soul taker"
Hii nimeiona kwa waturuki,wale jamaa wanapenda pili pili,ukiwa jikoni wanapika chakula mixer pili pili unakohoa na jikoni unakimbia ila wenyewe wapo poa tuBora dawa ya mbu ila sio mtu achome pilipili ndani aisee, show yake ni mateso ya mwisho. Utapaliwa mixer kukohoa hadi koromeo litoke mara machozi na kamas haya hapa. Watesi wakikuamulia na hakuna atakayejua
Hayo maviranga siyo ya kufuata, utapotea!Wakuu wasalam..
Wakuu uhai na kifo vimetenganishwa mstari mwembamba sana.
Kama wewe unadanganywa na kina Kiranga sijui Mungu hakuna wee subiri kila mtu zamu yake inakuja.
Wakuu katika haya maisha kama kitu ujui boraa kuuliza tu.. maana jana ilikua ni hatari mno maana mngesikia mengine.
Huyu mtu jana alikuwa anafanya jaribio la kutaka kunitoa roho ili badae aseme ni bahati mbaya.
Usiku baada ya msosi nikasema leo ngoja nimualike antiel tuje kucheki chek movie. Vishu Mtata Sio antiel dorry huyu ni mwingine..
Usiku kavizia mimi nimelala yeye kapulizia dawa alafu yeye akatoka njee .. mi nasema alivizia maana hata sababu anazotoa mi bado sijamwelewa
Wakuu hali niliyopitia acha tuu yaani yale madawa ni kama koo linakauka alafu una paliwa mda wote..
Kilichoniokoa ni kuingia chini ya kitanda huku nikiwa nimejifunika taulo puani.
Maana mlango alifunga kwa njee.
Anakuja kufungua anatoa sababu za kijinga kijinga et alikua chooni wakuu.n Kweli chooni nusu saa .
Mimi nilitamani nipulizie dawa alafu alale na yeye ili aone show yake.
Kiufupi wakuu elimu itolewe zaidi kuhusu hizi dawa maana jana niliona kabisa nadharililika maana nusu haja zinitoke aiseee
View attachment 3196221
Wewe Infropreneur unaesema Mungu hayupo sijui mara uamini ..
Jifingie room alafu puliza huu mzigo kuna vtu utaona ndo utaamini there is someone called soul removaler au mtoa roho
Acha utani kwenye mambo ya serious mkuu alaaah..Wewe ka kifua Kako kabovu sana Hit ndo inataka kukutoa roho ,watu tunapuliza unalala nayo japo si salama si shauri
Umekufa mara ngapi..?ukifa unazaliwa tena
😁😁 nashangaa unavosema inataka kukuua umekua mbu ?Uwongooo
Uwongo huooo huo ni uwongo 😄😄😄😄
Sie wenyewe huko ndo malegend.. unaanzaje kwa mfano😀😄😄😄😄🙌🙌 Hawa watu wakija gongo la mboto tunawachapa
Chandarua ni mambo ya kizamani..Tafuta chandarua kujikinga na malaria.....
Mkuu ile ya jana zaidi ya pili pili aiseeeeBora dawa ya mbu ila sio mtu achome pilipili ndani aisee, show yake ni mateso ya mwisho. Utapaliwa mixer kukohoa hadi koromeo litoke mara machozi na kamas haya hapa. Watesi wakikuamulia na hakuna atakayejua