Nimenusurika kufa jana

Mkuu acha acha kabisa..
Kuna njia mtu unaweza kugundua baada ya kupitia magumu..

Na humu ndani hakuna hata maji πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ mkuu huu ubishi utakuja kutuua
Kuna mzee aliwahi kuniambia ukilala hakikisha umweka glass ya maji pembeni yako na asubuhi hayo maji usiyanywe bali yamwage.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…