Nimenusurika kufa jana

Nimenusurika kufa jana

Mkuu acha acha kabisa..
Kuna njia mtu unaweza kugundua baada ya kupitia magumu..

Na humu ndani hakuna hata maji 😄😄😄😄😄😄😄 mkuu huu ubishi utakuja kutuua
Kuna mzee aliwahi kuniambia ukilala hakikisha umweka glass ya maji pembeni yako na asubuhi hayo maji usiyanywe bali yamwage.
 
Back
Top Bottom