Nimenusurika kufa jana

Unakufaje kizembe kwa dawa ya mbu, we ni mbu???
Kuna jamaa juu kasema hivo hivo.
But keep in mind ile dawa inaweza kukufanya ukawa kama mtoto mdogo an huna kauli.

Mkuu zile dakika niliona kama miaka dawa ina hatarr mkuu
Na kinachokuua sio dawa ila ile hali ya kupaliwa
 
HIcho kisa chako kinahusiana vipi na Mungu? Kwamba waliokufa wao hawakuamini kama Mungu yupo?
Kifo ni kifo tu na ipo siku isiyo na jina utakufa my friend.
 
Kuna mshikaji wangu damu tena ni Member wa JF aliaga Dunia miaka kadhaa imepita, kulichokutwa pale ndani baada ya siku 2 ni dawa hizi za wadudu warukao sitoitaja jina kwa nia njema. Rest easy Bro. Kenny!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…