Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Waache wajae ndani uwape malisho uwe shamba lao.Mkuu tuache utani hii dawa kupulizia wale wadudu ni kuwaonea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waache wajae ndani uwape malisho uwe shamba lao.Mkuu tuache utani hii dawa kupulizia wale wadudu ni kuwaonea
Kama binaadam inamfanya vile je huyo mbu mkuuWaache wajae ndani uwape malisho uwe shamba lao.
Una huruma na mbu? Wao mbona hawana huruma naweKama binaadam inamfanya vile je huyo mbu mkuu
Father father alitaka kuniua huyu mwalimu daaaah..Huyo anajua kwamba ww unachepuka hivi alitaka kukunyoosha kidogo
Bora dawa zile zile za kuchoma .Una huruma na mbu? Wao mbona hawana huruma nawe
Kuna jamaa juu kasema hivo hivo.Unakufaje kizembe kwa dawa ya mbu, we ni mbu???
Bado zote ni sumu piaBora dawa zile zile za kuchoma .
Hizo tutakuja kuuana mkuu
Yaani hizi usije peleka nyumbani kwa familia ya watu wengi tena yenye watoto
🤣😅😅😅😄😂😂Aisee!! Soul removaler.
Bado nna njaaUmeshiba sasa
Si upo unakula hapoBado nna njaa
Usalama ety..Dakika30..zilimtosha kabisa kupigwa ki 1 .na boyawake huku weunakoroma usingizini kwann akufungie kwa nje
Faza dirisha lilikua waziKwa hiyo unakaa kwenye chuma ambacho hakina dirisha!
Chini ya uvungu ndo kulikuwa na hewa nzuri?Faza dirisha lilikua wazi
Kuna mshikaji wangu damu tena ni Member wa JF aliaga Dunia miaka kadhaa imepita, kulichokutwa pale ndani baada ya siku 2 ni dawa hizi za wadudu warukao sitoitaja jina kwa nia njema. Rest easy Bro. Kenny!Wakuu wasalam..
Wakuu uhai na kifo vimetenganishwa mstari mwembamba sana.
Kama wewe unadanganywa na kina Kiranga sijui Mungu hakuna wee subiri kila mtu zamu yake inakuja.
Wakuu katika haya maisha kama kitu ujui boraa kuuliza tu.. maana jana ilikua ni hatari mno maana mngesikia mengine.
Huyu mtu jana alikuwa anafanya jaribio la kutaka kunitoa roho ili badae aseme ni bahati mbaya.
Usiku baada ya msosi nikasema leo ngoja nimualike antiel tuje kucheki chek movie. Vishu Mtata Sio antiel dorry huyu ni mwingine..
Usiku kavizia mimi nimelala yeye kapulizia dawa alafu yeye akatoka njee .. mi nasema alivizia maana hata sababu anazotoa mi bado sijamwelewa
Wakuu hali niliyopitia acha tuu yaani yale madawa ni kama koo linakauka alafu una paliwa mda wote..
Kilichoniokoa ni kuingia chini ya kitanda huku nikiwa nimejifunika taulo puani.
Maana mlango alifunga kwa njee.
Anakuja kufungua anatoa sababu za kijinga kijinga et alikua chooni wakuu.n Kweli chooni nusu saa .
Mimi nilitamani nipulizie dawa alafu alale na yeye ili aone show yake.
Kiufupi wakuu elimu itolewe zaidi kuhusu hizi dawa maana jana niliona kabisa nadharililika maana nusu haja zinitoke aiseee
View attachment 3196221
Wewe Infropreneur unaesema Mungu hayupo sijui mara uamini ..
Jifingie room alafu puliza huu mzigo kuna vtu utaona ndo utaamini there is someone called soul removaler au mtoa roho